Ads: info@gazetini.co.tz |
23.8 C
Dar es Salaam

Featured

Cucurella amkingia kifua Jose Mourinho

MADRID, Hispania BEKI wa Real Madrid, Marc Cucurella, amesimama na Jose Mourinho akisema bado ni mapema mno kuanza kumkosoa kocha huyo wa kimataifa wa Ureno. Kwa...

Guardiola kurudi Man City?

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa zamani wa Manchester City, Pep Guardiola, huenda akarejea klabuni hapo hivi karibuni. Kwa mujibu wa gazeti la Mirror, Guardiola raia wa Hispania...

Ndejembi: Ushirikiano wa Tanesco na CRDB utaongeza kasi ya uunganishaji umeme

Na mwandishi wetu, Gazetini MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi unaotekelezwa...

Lake Energies yazindua mfumo wa kujihudumia mafuta kidijitali

Na Faraja Mulungu, Gazetini KAMPUNI  ya Lake Energies imezindua mfumo wa kidijitali unaowawezesha wateja kujihudumia wenyewe katika vituo vya mafuta, hatua inayolenga kupunguza muda wa...

Wafanyabiashara waikimbia stendi ya mabilioni

Na Derick Milton, Gazetini-Simiyu UIBUAJI wa miradi ya maendeleo usiozingatia ushirikishwaji wa wadau unatajwa kuwa moja ya sababu za kutokufanya vizuri kwa baadhi ya miradi...

TCDC vawaonya viongozi wa Ushirika dhidi ya ubadhilifu

Na mwandishi wetu, Gazetini-Njombe TUME ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imewataka viongozi na watumishi wa vyama vya ushirika nchini kuepuka vitendo vya ubadhilifu na...

Auawa kwa panga akiwa kikao cha usuluhishi wa familia

Na Malima Lubasha, Gazetini SERENGETI. MKAZI wa Kitongoji cha Kwirambo, Kijiji cha Bonchugu, Tarafa ya Rogoro, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Magige Ryoba (38), amefariki...

Gamondi bado hajasomeka Taifa Stars

Na Hassan Mwasha, Gazetini MASHABIKI wa soka nchini bado hawajavutiwa na mwenendo wa timu yao ya Taifa ‘Taifa Stars’ tangu ilipoanza kunolewa na kocha wa...

Vigogo walioiingiza matatani Man City

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City iko kwenye presha kubwa kutokana na mashitaka inayokabiliwa nayo. Mashitaka ya kukiuka nidhamu ya matumizi ya fedha. Huenda ikakatwa...

Ripoti: Vifaa vya kujifunzia changamoto shuleni

Na Hassan Mwasha, Gazetini SEKTA ya elimu imekuwa na tija kubwa katika maeneo ya mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla. Katika taifa lololote, mfumo...

Uhaba wa maji watesa watu 714,921

Na Hassan Mwasha, Gazetini WATU 714,921 waliotarajiwa kupata maji ya uhakika, hawanufainiki na huduma hiyo, kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma...

Ripoti yaanika maumivu haya sekta ya afya

Na Hassan Mwasha, Gazetini TAASISI ya Uwajibikaji wa Umma kupitia Ripoti yake ya Mwaka 2024-25, imebaini uhaba wa asilimia 54.7 ya wahudumu kwenye sekta...

Recent articles