Ads: info@gazetini.co.tz |
23.6 C
Dar es Salaam

Featured

Aliyekuwa akiombewa amuua mchungaji wake kwa panga

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Victor Fransis Thomas (39), mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kadudu, Kijiji cha Lupaso, Wilaya...

Makamu wa Rais atoa wito uboreshaji  mfumo wa fedha

Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito wa kufanyika maboresho ya mfumo wa fedha na ufadhili wa maendeleo duniani ili kutoa...

Esther Bulaya: Nilikuwa Chadema kwa mkopo nimerejea, CCM ni kama  Barcelona 

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kada wa chama hicho, Esther Bulaya  amesema  alikuwa Chadema kwa mkopo...

Rais Mwinyi aipongeza Yanga, aizawadia  milioni 100

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga  Sh 100 milioni  kwa kutambua ushindi na...

Kihongosi aahidi kutekeleza  alichotumwa na Rais Samia  Arusha

Na Mwandishi Wetu  Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha,  Kenani Kihongosi amesema  atafanya kazi aliyotumwa na Rais Samia Suluhu Hassani na  hataruhusu kikwazo chochote kitakachojaribu kuzuia maendeleo ya...

Visual| Sekta ya Madini ilivyovuka lengo la Trilioni 1 kabla ya wakati

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba, amesema kuwa hadi kufikia Juni 28, 2025 — zikiwa zimebaki siku chache...

DAS Kinondoni aipongeza MONTI International kwa kuibua, kulea vipaji vya watoto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dar es Salaam Katibu tawala wilaya ya Kinondoni - DAS, Warda Abdallah ameipongeza Shule ya Kimataifa ya Monti kwa kuibua na kulea...

Iran yataka Israel, Marekani ziadhibiwe

TEHRAN, Iran WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuzitambua Israel na Marekani kuwa ni...

Uvutaji sigara holela marufuku Ufaransa

PARIS, UfaransaSHERIA mpya nchini Ufaransa inapiga marufuku uvutaji wa sigara katika maeneo ya fukwe, shule na maegesho ya magari. Kwa mujibu wa sheria, atakayekiuka, basi...

Museveni atangaza nia urais

KAMPALA, Uganda RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameweka wazi mpango wake wa kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mapema mwakani. Rais Museveni, ambaye sasa ana...

Rais Trump: Nina wateja wa kuinunua TikTok

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema tayari ana matajiri wake wanaoweza kuununua mtandao wa kijamii wa TikTok, ambao umepigwa marufuku nchini humo...

Osimhen haondoki Napoli

NAPOLI, Italia LICHA ya kuhusishwa na klabu kadhaa za Ulaya, zikiwamo pia za Saudi Arabia, Victor Osimhen ataungana na wachezaji wengine wa Napoli kwa ajili...

Recent articles