Na mwandishi wetu, gazetini
DE La Rose ambaye ni mwanamuziki na msanii wa maudhui ya mtandaoni, amesema hajaacha muziki kama ambavyo baadhi ya watu wanafikiria bali amejikita katika matumizi ya teknolojia ya akili mnemba (AI) kuzalisha maudhui...
Na mwandishi wetu,Gazetini
WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umegusa maisha ya wananachi wa Mkoa wa Kilimanjaro kupitia kampeni yake ya huduma kwa jamii ambapo imekabidhi vifaa vya msaada katika mashule, hospitali pamoja na...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester City iko kwenye presha kubwa kutokana na mashitaka inayokabiliwa nayo. Mashitaka ya kukiuka nidhamu ya matumizi ya fedha. Huenda ikakatwa...
LOS ANGELES, Marekani
DOUGLAS Stewart Carter mwenye umri wa miaka 71, amerejea uraiani baada ya kuachiwa kwa dhamana. Ni baada ya miaka 41 ya kusota...
LONDON, Uingereza
NDANI ya miaka miwili tu, Johan Manzambi ametoka kuwa mchezaji asiyefahamika hadi kuingia kwenye rada za klabu kadhaa kubwa za Ulaya na huenda...
MOSCOW, Urusi
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, ameimarisha vita vyake na Ukraine baada ya kutangaza ajira za wananjeshi wapya 15,500. Ni miaka minne na nususasa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATI ya watu 20 wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa kijamii wa Instagram, 14 wanatoka nchini Marekani.
Hata hivyo, wanasoka...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UGIRIKI na Japan ndizo nchi zinazotajwa kuwa na kipimo kigumu zaidi kwa dereva kukabidhiwa leseni na kuingia barabarani.
Kwa Ugiriki, dereva anayehitaji...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UMEWAHI kujiuliza maisha yangekuwa magumu kiasi gani bila uwepo wa chumvi kwenye mboga? Sasa, kwa taarifa yako, binadamu alianza kutumia kiungo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BILIONEA Elon Musk, ambaye ndiye mmiliki wa X , ndiye mtu mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa kijamii. Wafuasi...
LOS ANGELES, Marekani
KATIKA orodha ya mastaa wenye mkwanja mrefu duniani kwa sasa, nafasi ya kwanza na ya pili zinashikwa na waongozaji wa filamu nchini...
MANCHESTER, Uingereza
BEKI wa zamani wa Manchester City na timu ya Taifa ya Ujerumani, Jerome Boateng, ametangazwa kuwa kocha msaidizi wa Trabzonspor ya Ligi Kuu...