Ads: info@gazetini.co.tz |
26.1 C
Dar es Salaam

Europe

Na Hassan Mwasha, Gazetini LICHA ya kutanguliwa kwa bao la mapema, Simba wameweza kuamka na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga, huku nyota wa kigeni, Neo Maema na Elie Mpanzu, wakiibuka mashujaa kwa upande...
LONDON, Uingereza ARSENAL wamepata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leeds United uliochezwa leo Oktoba 10, 2026. Washika Bunduki ni kama wamerejea kwenye reli baada ya kufungwa mabao...

Aliyeondoka Bayern kutua AS Roma

ROMA, Italia ZIPO taarifa zinazodai kuwa klabu ya AS Roma iko mbioni kumchukua beki aliyeachana na Bayern Munich, Raphael Guerreiro. Kwa mujibu wa ripoti, kocha wa...

PSG majanga yanaendelea huko

PARIS, Ufaransa VIGOGO wa soka la Ufaransa, PSG, hawajaonja ushindi katika mechi zote tatu za msimu huu wa Ligi Kuu ya Ufaransa . Wakiwa nyumbani jana...

EPL siyo mchezo kwa matumizi soko la usajili

LONDON, Uingereza KLABU za Ligi Kuu ya England zilitumia kiasi cha Pauni bilioni 3.46 katika soko la usajili wa majira haya ya kiangazi lililofungwa...

Henry: Sijaona wa kuizuia Arsenal

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal, Thierry Henry, anaiona timu hiyo ikienda kubeba tena taji la Ligi Kuu ya England msimu huu wa 2026-27. Henry raia wa...

Arteta afika ‘levo’ za Ferguson, Wenger

LONDON, Uingereza KOCHA Mikel Arteta ameingia kwenye orodha ya makocha wachache waliowahi kufikisha mechi 250 za Ligi Kuu ya England wakiwa na klabu moja. Orodha hiyo...

Mkataba wa mafuta na Marekani; faida au hasara kwa Venezuela?

WASHINGTON DC, Marekani MAREKANI imeuita kuwa ni ‘mkataba bora zaidi wa mafuta katika historia ya dunia’. Ni mkataba unaoipa Marekani sehemu ya akiba ya mafuta...

Usajili wa bei mbaya unavyokosa matokeo Tottenham

LONDON, Uingereza TOTTENHAM imepoteza mechi zote mbili ilizocheza msimu huu wa Ligi Kuu ya England. Ilifungua pazia kwa kufungwa mabao 3-0 na Brighton, kabla ya...

Mourinho aipeleka Ballon d’Or kwa Mbappe

MADRID, Hispania KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho, amesema mshambuliaji wake raia wa Ufaransa, Kylian Mbappe, anastahili tuzo ya mwaka huu ya Ballon d’Or. Akizungumza kuelekea...

Watatu waomba kuondoka Tottenham

LONDON, Uingereza KOCHA wa Tottenham, Roberto De Zerbi, amefichua kuwa mastaa wake watatu kikosini wameomba kuondoka klabuni hapo. Zerbi raia wa Italia, ameenda mbali zaidi na...

Messi apachika manne ‘wakiua’ 7

MIAMI, Marekani NAHODHA wa Inter Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS), Lionel Messi, ameingia kambani mara nne katika ushindi wa mabao 7-1 walioupata dhidi...

Huyu kuziba pengo la Alvarez pale Arsenal

LONDON, Uingereza WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wameingia kwenye mazungumzo ya kumsajili staa wa Lille ya Ufaransa, Matias Fernandez-Pardo. Licha ya Arsenal kuitaka saini yake, pia...

Grealish atakiwa Sunderland

LONDON, Uingereza KLABU ya Sunderland imeanza kuiwinda saini ya winga wa kimataifa wa England, Jack Grealish, kwa mujibu wa mtandao wa Football Insider. 'Black Cats' wanaitaka...

Recent articles