21.4 C
New York

Leverkusen wafanya balaa ‘pre-season’ 

Published:

MUNICH, Ujerumani 

BAYERN Leverkusen ya Bundesliga imeyaanza vizuri maandalizi ya msimu ujao (pre-season) kwa ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Sportfreunde Baumberg.

Katika mchezo huo, straika wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, alipasia nyavu mara mbili, kama alivyofanya kinda mpya wa timu hiyo, Afonso Moreira.

Nyota wengine walioifungia Leverkusen katika mechi hiyo ni Christian Kofane, Nathan Tella na Robert Andrich.

Boniface amerejea Leverkusen baada ya kucheza kwa mkopo Werder Bremen msimu uliopita (2025-26).

Je, Leverkusen wataendeleza moto huo kwenye Ligi na michuano mingine ya msimu ujao wa 2026-27?

Related articles

Recent articles