Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

DIRA

CATALUNYA, Hispania KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick, amefichua kuwa kiungo wake, Frenkie de Jong, atakuwa fiti wiki chache zijazo. Flick amezungumzia hayo kuelekea mchezo wao wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi. De Jong...
LONDON, Uingereza NI nyota wawili pekee kutoka Afrika walioingia 'Top 30' ya kinyang'anyiro cha kuiwania tuzo ya mwaka huu ya Ballon d'Or kwa upande wa soka la wanawake. Nyota hao ni mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zambia,...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Michezo na Ubunifu

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA hizo zina uwezo mkubwa ambao haujatumiwa kikamilifu katika kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Sekta hizi zinatoa fursa muhimu kwa...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Uchumi wa Buluu

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA ya Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na maji baridi, utakuwa na mchango mkubwa katika kuleta...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Madini

Na mwandishi wetu, Gazetini NI moja ya sekta muhimu yenye fursa kubwa ya kuchangia maendeleo ya nchi. Hii inatokana na utajiri wa rasilimali za madini,...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Ujenzi na milki

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA hizi zitakuwa kiini cha ukuaji wa miji ya Tanzania, zikikidhi mahitaji yanayoongezeka ya makazi, miundombinu na huduma za umma, huku...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Uzalishaji viwandani

Na mwandishi wetu, Gazetini KUTEGEMEA kilimo pekee kwa muda mrefu ni changamoto kwa kuwa mabadiliko ya tabianchi, kuyumba kwa bei, misukosuko ya masoko duniani kunaweza...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Utalii

Na mwandishi wetu, Gazetini Kama ilivyo kilimo, utalii ni sekta nyingine nyeti katika uchumi wa Tanzania. Kwa takwimu halisi, inachangia asilimia 25 ya mapato ya...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Kilimo

Na mwandishi wetu, Gazetini DIRA 2050 inaanisha vigezo vitano vya kuchagua sekta za mageuzi. Vigezo hivyo vinatokana na umuhimu na mchango ambao umekuwa ukitolewa na...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Mageuzi ya Kidijitali

Na mwandishi wetu, Gazetini MAGEUZI ya Kidijitali ni kichocheo kingine muhimu cha maendeleo katika karne hii ya 21. Kwa maana nyingine, mageuzi ya kidijitali ni...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Utafiti na Maendeleo

Na mwandishi wetu, Gazetini KADRI nchi inavyoendelea, utfiti na maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza ubunifu, kutatua changamoto za ndani, na kuongeza tija katika uzalishaji. Vilevile,...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Sayansi na Teknolojia

Na mwandishi wetu, Gazetini SAYANSI na Teknolojia zinachochea ubunifu na kuongeza tija na ushindani. Hivyo basi, sayansi na teknolojia ni vichocheo muhimu vinavyoleta tija, ufanisi...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Nishati

Na mwandishi wetu, Gazetini UPATIKANAJI wa nishati ya uhakika ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi na maendeleo ya jamii. Umuhimu wa nishati unajidhihirisha kuanzia...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Usafirishaji fungamanishi 

Na mwandishi wetu, Gazetini VICHOCHEO vya maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza kasi ya kufikia malengo ya Dira 2050. Kwa kutambua hilo, Dira hii imebainisha...

Recent articles