Na mwandishi wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Benki ya...
Na Faraja Mulungu, Gazetini
KAMPUNI ya Lake Energies imezindua mfumo wa kidijitali unaowawezesha wateja kujihudumia wenyewe katika vituo vya mafuta, hatua inayolenga kupunguza muda wa kupata huduma na kuongeza matumizi ya teknolojia katika sekta ya mafuta nchini.
Mfumo...
LOS ANGELES, Marekani
BILIONEA anayemiliki mtandao wa kijamii wa Telegram, Pavel Durov, anakabiliwa na shutuma kutoka katika mataifa mawili ya Urusi na Ufaransa.
Katika taarifa yake...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange, amewaondoa hofu wananchi kuhusu matumizi ya nishati ya umeme katika vyombo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA utafiti wake, Kampuni ya Microsoft imebaini kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ndiyo nchi inayoongoza kwa matumizi ya 'akili-unde'...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MKURUGENZI wa Rasilimali Watu na Utawala wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Beatrice Kimoleta, amewahakikishia Maafisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MOJA ya hatua kubwa zilizopigwa na Shirika la Reli nchini (TRC) ni kuondokana na utegemezi kwa Serikali, ambapo katika Mwaka wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BUNGE la Jamhuru ya Muungano wa Tanzania, limeridhia na kupitisha bajeti ya Wizara ya Madini ya sh bilioni 174.9 kwa Mwaka...
Na mwandishi wetu, Gazetini
DUNIA inaendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya teknolojia yanayobadilisha namna shughuli mbalimbali zinavyotekelezwa kila siku, huku sehemu kubwa ya maendeleo hayo ikilenga...
NEW YORK, Marekani
KAMPUNI kubwa ya teknolojia dunini ya Apple Inc. imetangaza kuwa mtendaji wake wa muda mrefu, John Ternus, atachukua nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji...
Na mwadishi wetu, Gazetini
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini kuwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA inaendelea kupiga hatua katika upatikanaji wa huduma za mawasiliano kupitia teknolojia mbalimbali za mitandao ya simu.
Kwa mujibu wa ripoti ya...
TEHRAN, Iran
WAKATI Marekani ilipoanza kuishambulia Iran wiki chache zilizopita, Donald Trump alijitamba kuwa wataangamiza viwanda vyote vya silaha nchini humo.
Hata hivyo, Rais Trump alisahau...
Na mwandishi wetu, Gazetini
DUNIA inakwenda kasi. Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanaibua gunduzi zinazorahisha na kuleta ufanisi wa shughuli mbalimbali.
Kwa sasa, fani ya udaktari...