Na Hassan Mwasha, Gazetini
HIVI karibuni, Katibu wa Oganaizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, alitoa kauli iliyoibua mjadala mzito na wengine wakiitafsiri kuwa ni mwendelezo wa tabia za baadhi ya viongozi kujisahau, kutafuta ‘kiki’ au...
LONDON, Uingereza
ARSENAL walifungua pazia la msimu huu wa Ligi Kuu ya England wakiwa na matajirio ya kutetea ubingwa wao. Manchester City, Liverpool na Chelsea walianza wakiwa na makocha wapya kwenye mabenchi yao ya ufundi.
Kwa upande...
TEHRAN, Iran
WIZARA ya Afya ya Iran imeeleza kuwa watu zaidi ya 1,300 wamefariki na wengine zaidi ya 9,000 kujeruhiwa tangu nchi hiyo ilipoingia kwenye...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA imepiga hatua kubwa katika kupunguza athari za malaria, huku takwimu za hivi karibuni zikionyesha kupungua kwa vifo, maambukizi na wagonjwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
JUMLA ya watoto na vijana wapatao 75,500 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ili kubaini mapema hali zao za...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MALEZI ya mtoto hayahusu chakula, mavazi au elimu pekee, bali pia maadili anayojifunza akiwa mdogo. Wazazi wengi hutamani kuona watoto wao...
JERUSALEM, Palestina
MIAKA miwili iliyopita, Sarah Qanan alikuwa miongoni mwa wanafunzi waliokuwa wakifanya vizuri darasani. Ndoto ya kuwa daktari ilikuwa kichwani kwake na kumuongezea morali...
NEW YORK, Marekani
RIPOTI mpya ya Umoja wa Mataifa (UN) inaonesha kuwa wasichana takribani milioni 4.5 duniani kote wako kwenye hatari ya kufanyiwa ukeketaji kwa...
LAGOS, Nigeria
WATOTO wengine 130 waliokuwa wametekwa na waasi mwezi uliopita nchini Nigeria wameachiwa na kuungana na familia zao.
Ikumbukwe, watoto hao ni miongoni mwa wanafunzi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HUKU ikionekana kuwa ni kwenda na wakati, utamaduni wa watoto kuachiwa 'simu-janja' (smartphone) una madhara mkubwa kwao, utafiti wa hivi karibuni...
KINSHASA, DRC
SHIRIKA la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limeeleza kuwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inapitia kipindi kigumu zaidi kuwahi kutokea kutokana...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HIYO ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wataalamu wa afya wanaojihusisha na masuala ya homoni nchini Ujerumani.
Katika utafiti wao, wamebaini...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ULIMWENGUNI kote, serikali zinaendelea kujadili umri unaofaa kuruhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, huku baadhi zikianzisha vikwazo vipya vya umri ili...