Ads: info@gazetini.co.tz |
25.5 C
Dar es Salaam

AFYA

Na mwandishi wetu, gazetini DE La Rose ambaye ni mwanamuziki na msanii wa maudhui ya mtandaoni, amesema hajaacha muziki kama ambavyo baadhi ya watu wanafikiria bali amejikita katika matumizi ya teknolojia ya akili mnemba (AI) kuzalisha maudhui...
Na mwandishi wetu,Gazetini WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umegusa maisha ya wananachi wa Mkoa wa Kilimanjaro kupitia kampeni yake ya huduma kwa jamii ambapo imekabidhi vifaa vya msaada katika mashule, hospitali pamoja na...

Utafiti: Tembo hujitibu wenyewe kwa mitishamba

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mujiu wa utafiti wa Taasisi ya Mount Elgon, wanyama aina ya tembo hujitibu kwa mitishamba wanapopata wanapokabiliwa na magonjwa mbalimbali. Aidha,...

Tofauti ya umri wa kuuziwa pombe duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini “HAIUZWI kwa mtu mwenye umri chini ya miaka 18.” Ni kaulimbiu maarufu katika matangazo ya kampuni za pombe. Kwamba bidhaa hiyo...

Magonjwa ya upumuaji yashika kasi Indonesia

JAKARTA, Indonesia WATU takribani 175,000 nchini Indonesia wameripotiwa kukabiliwa na magonjwa ya upumuaji, ikiwamo pneumonia. Idadi hiyo, kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Indonesia, ni...

Viuatilifu hatarishi vyawaathiri wakulima milioni 433 Duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI mpya wa kimataifa umebaini kuwa kati ya wakulima na wafanyakazi wa mashambani milioni 402 hadi 433 duniani wanaathiriwa na viuatilifu...

Apandikiziwa figo ya nguruwe, yamsogeza siku 271

LOS ANGELES, Marekani FIGO ya nguruwe iliyopandikizwa kwa mgonjwa imemsaidia kuishi siku 271, kwa mujibu wa madaktari nchini Marekani. Kwa mujibu wa mgonjwa huyo aliyefahamika kwa...

Maajabu ya kulala wikiendi kwa afya yako

Na mwandishi wetu, Gazetini KULALA kwa saa moja au mbili za ziada katika siku za mapumziko ya wiki (wikiendi) kunapunguza hatari ya kupata shinikizo la...

DC Chato: Huduma za OSHA ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi

Na mwandishi wetu, Gazetini Mkuu wa Wilaya ya Chato, mkoani Geita, Louis Bura, amesema kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi katika Mkoa wa Geita imepelekea...

Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuiongeza wataalam OSHA

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeishauri Serikali kuiongezea wataalam Wakala wa Usalama na Afya Mahali...

Tume yabainisha matamanio ya Serikali kulinda afya na usalama wa watumishi wa umma

Na mwandishi wetu, Gazetini TUME ya Utumishi wa Umma imesema serikali ina nia ya dhati ya kuhakikisha watumishi wa umma wanakuwa salama na wenye afya...

Wachimbaji Namungo waomba mafunzo ya OSHA

Na mwandishi wetu, Gazetini WACHIMBAJI wadogo wa Mgodi wa Namungo wameiomba Serikali kupitia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuwapatia mafunzo ya...

Wakazi wa Nyambili walalamikia ukosefu wa zahanati

Na Malima Lubasha, Gazetini WAKAZI wa Kijiji cha Nyambili, Kata ya Sirori Simba, Wilaya ya Butiama mkoani Mara, wameiomba Serikali kujenga zahanati ya kijiji hicho...

Marekani ilivyoiweka ‘ICU’ sekta ya afya Cuba

HAVANA, Cuba KWA miaka mingi, Cuba imekuwa ikisifika kwa ubora wa sekta yake ya afya, huku raia wake wakifurahia huduma ya matibabu bila malipo kwa...

Recent articles