Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Burudani

Na mwandishi wetu, Gazetini STAA wa muziki wa Afropop Mr. Eazi hajawatelekeza mashabiki zake, kwani amerudi na wimbo mpya uitwao Comfort. Ngoma hii kali yenye mahadhi ha Afo Pop, amemshirikisha mwanamuziki kutoka Ghana, Moliy anayefahamika kujitengenezea umalkia wake...
MILAN, Italia RIPOTI kutoka nchini Italia zinadai kuwa AC Milan inamtolea macho kiungo wa Brighton ya England, Yasin Ayari. Usajili huo umependekezwa na kocha wa sasa wa Milan, Ruben Amorim, ambaye anataka kuimarisha safu yake ya kiungo. Kocha huyo...

Natamba nae kumrudisha Kelvin Bosco kwa kishindo

Na mwandishi wetu, Gazetini BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, mwimbaji wa muziki wa injili nchini, Kelvin Bosco, anatarajia kurejea kwenye muziki kwa kishindo...

Rapa Uingereza ana kesi ya ubakaji

LOS ANGELES, Marekani MWANAMUZIKI wa Hip hop, Yung Filly, atapandishwa kizimbani Juni, 2027, nchini Australia kujibu mashitaka ya ubakaji yanayomkabili. Filly , alifunguliwa mashitaka hayo Julai,...

Rick Ross aliiba jina la muuzaji ‘unga’, aliacha soka kisa Hip Hop

LOS ANGELES, Marekani KAMA utataja wasanii wa Hip hop wakubwa nchini Marekani na duniani kwa ujumla, basi hutoacha kulitaja jina la William Leonard Roberts II,...

Mnanda; muziki mzuri uliovaa vazi la uhuni

Na Hassan Mwasha, Gazetini KATIKA miaka ya 1990, muziki wa mnanda, maarufu pia kwa jina la mchiriku, uliwahi kujizolea umaarufu mkubwa hapa nchini, hasa katika...

Aliyetajwa kufariki aibuka, atoa neno

LAGOS, Nigeria MWIGIZAJI maarufu wa filamu za Nigeria (Nollywood), Ruth Kadiri, amevunja ukimya baada ya taarifa za kifo chake kusambaa na kuzusha taharuki mitandaoni. Kupitia mitandao,...

Ciara aanika ‘kibendi’ chake

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina kubwa katika soko la muziki nchini Marekani, Ciara, ametangaza kuwa ana ujauzito, hivyo mtoto ajaye atakuwa wa tano kwenye...

Rafiki yake Davido afariki akiongeza uume

LAGOS, Nigeria CHANZO cha kifo cha rafiki wa karibu wa staa Davido, Ego, kimetajwa kuwa ni operesheni ya kuongeza ukubwa wa umeme wake aliyofanyiwa Machi,...

Mke wa Beckham ‘alivyotusua’ tasnia ya urembo

LOS ANGELES, Marekani HIVI karibuni, mke wa David Beckham, Victoria, alitangaza faida ya Pauni milioni 7.3 kupitia kampuni yake ya mitindo na urembo, ambapo mauzo...

Davido: Nitaacha muziki nitafute pesa

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, Davido, amefichua kuwa atastaafu hivi karibuni ili apate muda mwingi wa kutengeneza mabilioni. Davido amekuja na kauli hiyo kupitia...

Baada ya Tupac, sasa ni msako wa aliyemuua B.I.G.?

LOS ANGELES, Marekani UTATA uliodumu wa miaka 30 umepatiwa ufumbuzi hivi karibuni baada ya Duane Davis, maarufu kwa jina la Keffe D, kukutwa na hatia...

Lionel Richie; Mtoto wa mwanajeshi aliyeacha uchungaji kisa muziki

LOS ANGELES, Marekani LEJENDARI wa muziki wa Soul na R&B nchini Marekani, Lionel Richie, alikimbizwa hospitali wikiendi iliyopita, kisha kuwekwa ‘ICU’ mjini St. Louis. Richie (77),...

Mahakama: Keffe D ndiye aliyemuua Tupac

LOS ANGELES, Marekani MAHAKAMA nchini Marekani imemkuta na hatia kiongozi wa zamani wa genge la uhalifu, Duane Davis 'Keffe D', katika kesi ya mauaji ya...

Recent articles