Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Hawa ndiyo watokea benchi hatari zaidi EPL

LONDON, Uingereza LIGI Kuu ya England imeshuhudia maajabu mengi, likiwamo hili la baadhi ya wachezaji kusifika kwa uwezo wao wa kubadili matokeo kila wanapotokea...

Habari Kuu

Jamii

Afya

Na Hassan Mwasha, Gazetini TAASISI ya Uwajibikaji wa Umma kupitia Ripoti yake ya Mwaka 2024-25, imebaini uhaba wa asilimia 54.7 ya wahudumu kwenye sekta ya afya nchini. Sambamba na hilo, Ripoti imeeleza kuwa licha ya Serikali kugharamia...

Utafiti: Tembo hujitibu wenyewe kwa mitishamba

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mujiu wa utafiti wa Taasisi ya Mount Elgon, wanyama aina ya tembo hujitibu kwa mitishamba wanapopata wanapokabiliwa na magonjwa mbalimbali. Aidha, utafiti huo ulioongozwa na wataalamu, akiwamo Dkt. Elodie Freymann kutoka Chuo Kikuu...

Tofauti ya umri wa kuuziwa pombe duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini “HAIUZWI kwa mtu mwenye umri chini ya miaka 18.” Ni kaulimbiu maarufu katika matangazo ya kampuni za pombe. Kwamba bidhaa hiyo hairuhusiwi kisheria kuuzwa kwa mtu mwenye umri chini ya huo na imekuwa...

Makala

spot_img

Infographics

Siasa

Na mwandishi wetu, Gazetini MAANDAMANO makubwa yameshuhudiwa katika mitaa ya nchi mbalimbali za Ulaya, yote yakiwa na ajenda moja; kilio cha wananchi juu ya kupanda kwa gharama za maisha. Jumamosi ya wiki hii, Oktoba 17, 2026, yalichomoza maandamano...

Ukraine imeishika pabaya Urusi

KYIV, Ukraine ALIYEKUWA Mkuu wa Majeshi wa Ukraine, Oleksandr Syrskyi, amedai kuwa kwa sasa maadui zao, Urusi, wameishiwa pumzi kwenye uwanja wa vita. Jenerali Syrskyi ameeleza kuwa Ukraine imejiimarisha zaidi kwa kuwaua wanajeshi wengi wa Urusi. Kiongozi huyo wa...

Waziri wa Saudia awalaani Houthi

RIYADH, Saudi Arabia WAZIRI wa Nishati wa Saudi Arabia, Abdul Aziz bin Salman, amelaani mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa Kundi la Houthi la Yemen. Houthi wanaishambulia Saudia kwa kuwa nchi hiyo imekuwa ikiiunga mkono serikali iliyoko madarani nchini...

Elimu

Watahiniwa 667,040 kuanza mtihani wa kidato cha nne kesho

Na mwandishi wetu, Gazetini JUMLA ya watahiniwa 667,040 wanatarajiwa kuanza kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne mwaka 2026, utakaofanyika kuanzia Oktoba 19 hadi Novemba 6 katika shule za sekondari 6,265 na vituo vya watahiniwa wa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini SEKTA ya elimu imekuwa na tija kubwa katika maeneo ya mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla. Katika taifa lololote, mfumo bora wa elimu ndiyo uhai na uimara wa sekta zingine. Sasa, kwa mujibu...

El Niño yabadilisha ratiba ya mitihani ya Taifa 2026

Na Esther Mnyika, GAZETINI WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya mabadiliko ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kufuatia utabiri wa uwezekano wa kutokea kwa mvua kubwa zinazohusishwa na hali...

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Michezo

Latest news

Hawa ndiyo watokea benchi hatari zaidi EPL

LONDON, Uingereza LIGI Kuu ya England imeshuhudia maajabu mengi, likiwamo hili la baadhi ya wachezaji kusifika kwa uwezo wao wa kubadili matokeo kila wanapotokea...

Huyu ndiye paka mzee zaidi duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini AKIWA na umri wa miaka 31, Millie anatajwa kuwa ndiye paka mzee zaidi duniani. Leslie Greenhough, mkazi wa jijini Manchester mwenye...

Ugumu wa maisha wazitikisa Ubelgiji, Italia, Ureno na Ufaransa

Na mwandishi wetu, Gazetini MAANDAMANO makubwa yameshuhudiwa katika mitaa ya nchi mbalimbali za Ulaya, yote yakiwa na ajenda moja; kilio cha wananchi juu ya kupanda...

Watahiniwa 667,040 kuanza mtihani wa kidato cha nne kesho

Na mwandishi wetu, Gazetini JUMLA ya watahiniwa 667,040 wanatarajiwa kuanza kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne mwaka 2026, utakaofanyika kuanzia Oktoba 19 hadi...

Wivu wa mapenzi usiwe sababu ya mauaji-Serikali

Na Mwandishi wetu, Gazetini-Njombe SERIKALI imetoa onyo kwa wanaume nchini dhidi ya kuruhusu wivu wa kimapenzi kuwachochea kufanya vitendo vya ukatili na mauaji, akisisitiza kuwa...

Klabu za soka zinazoongoza kwa madeni Ulaya

LONDON, Uingereza UTAFITI wa hivi karibuni umedai kuwa asilimia 94 ya klabu za soka za Ligi Kuu ya England hazipati faida, na badala yake...

Nyota hawa wamekimbilia Ligi ya Brazil

RIO, Brazil HIVI karibuni, lejendari wa soka la Uholanzi aliyewahi kuwika na AC Milan, Clarence Seedorf, alitua Ligi Kuu ya Brazil, ambako amekabidhiwa mikoba ya...

Sudan Kusini kinara ukuaji wa uchumi Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini SHIRIKA la Fedha la Kimataifa limezitaja katika ripoti yake nchi 10 za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye kasi kubwa...

Kane mkataba mpya hadi 2029

MUNICH, Ujerumani RIPOTI zinaeleza kuwa straika wa kimataifa wa England, Harry Kane, amekubali kuongeza mkataba utakaombakiza katika klabu ya Bayern Munich hadi mwaka 2029. Awali, ilielezwa...

Aliyemuua Pop Smoke amuomba radhi mama yake

LOS ANGELES, Marekani MMOJA ya washitakiwa wanne wa mauaji ya Pop Smoke amemuomba radhi mama mzazi wa staa huyo wa muziki wa Hip hop nchini...

Haaland kama kawa, avunja rekodi Ulaya

MANCHESTER, Uingereza STRAIKA wa Manchester City, Erling Haaland, alifunga mabao mawili, licha ya timu yake kufungwa mabao 4-2 na PSG katika mechi ya Ligi ya...

Mkongwe amchongea Lisandro Martinez

MANCHESTER, Uingereza STRAIKA wa zamani wa Ligi Kuu ya England , Jimmy Floyd Hasselbaink, ameitaka Manchester United kumsimamisha beki wake wa kati, Lisandro Martinez. Hasselbaink ni...