Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Sports

Na mwandishi wetu, Gazetini KATI ya watu 20 wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa kijamii wa Instagram, 14 wanatoka nchini Marekani. Hata hivyo, wanasoka wawili, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, ndiyo watu wenye ‘followers’ wengi zaidi...
Na mwandishi wetu, Gazetini UGIRIKI na Japan ndizo nchi zinazotajwa kuwa na kipimo kigumu zaidi kwa dereva kukabidhiwa leseni na kuingia barabarani. Kwa Ugiriki, dereva anayehitaji leseni ya udereva atafanya mtihani wenye maswali 30 ndani ya dakika 35...

Dakika 20,70 za Ibenge ndani ya ligi kuu bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini KOCHA mwenye 'CV' kubwa katika soka la Afrika, Florent Ibenge, ametimiza dakika dakika 20,70 tangu alipoanza kuisimamia Azam katika mechi za...

Neuer afika ‘levo’ za Messi

MUNICH, Ujerumani MLINDA mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer, amefikisha mechi 136 akiwa kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Idadi hiyo ni sawa na aliyokuwa nayo...

Beckham amtolea uvivu Tuchel

LONDON, Uingereza KIUNGO wa zamani wa timu ya taifa ya England, David Beckham, amesema haelewi sababu ya kocha Thomas Tuchel kutomuita kikosini beki Trent Alexander-Arnold. Tuchel...

Gattuso kuirejesha Italia fainali za Kombe la Dunia?

LONDON, Uingereza TANGU walipotwaa ubingwa mwaka 2006, timu ya taifa ya Italia haijavuka hatua ya makundi katika fainali za Kombe la Dunia. Na badala yake, imeishia...

Unabeti kama starehe au na wewe umeshaigeuza ajira?

Na mwandishi wetu, Gazetini SHIDA kubwa tuliyonayo ngozi nyeusi ni kushindwa kutofautisha kati ya jambo la starehe na lile la lazima/muhimu. Hao ndipo tunapofeli. Huwa tunaanza...

Anguko la Leicester City kutoka ubingwa EPL hadi ‘mchangani’

LONDON, Uingereza MIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliushangaza ulimwengu wa soka walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL). Walifanya hivyo msimu wa 2015-16. Kwa sasa,...

Enrique hana mpango na Man United

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG raia wa Hispania, Luis Enrique, havutiwi na mpango wa kuinoa Manchester United, licha ya kuhusishwa na klabu hiyo kwa ajili...

Sterling kutimkia Leeds au Palace

LONDON, Uingereza HUENDA kiungo wa pembeni wa Chelsea, Raheem Sterling, akaondoka klabuni hapo na kujiunga na Leeds United au Crystal Palace za Ligi Kuu ya...

Safari ya Patrick Kluivert; soka, makosa na mafanikio

Na Mwandishi Wetu, Gazetini PATRICK Kluivert, mzaliwa wa jiji la Amsterdam nchini Uholanzi, alikulia katika familia yenye mapenzi makubwa kwa mchezo wa soka. Baba yake...

Chart| Nchi zilizotwaa kombe la AFCON hadi sasa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Michezo ya hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inatarajiwa kupigwa leo Februari 7, 2024. Katika...

Recent articles