Na mwandshi wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nishati, Dk. Juma Homera, amezindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliohuishwa pamoja na mifumo na huduma mpya za TANESCO, katika hatua inayolenga kubadilisha namna Shirika linavyowahudumia wateja kwa kutumia teknolojia za...
Na Imani Nathaniel, Gazetini
Kampuni ya Halotel imeahidi kutoa huduma ya intaneti bure katika shule nchini, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kusaidia kukuza elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kuongeza fursa kwa wanafunzi...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
SEKTA ya elimu imekuwa na tija kubwa katika maeneo ya mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla. Katika taifa lololote, mfumo...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
WATU 714,921 waliotarajiwa kupata maji ya uhakika, hawanufainiki na huduma hiyo, kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma...
LOS ANGELES, Marekani
DOUGLAS Stewart Carter mwenye umri wa miaka 71, amerejea uraiani baada ya kuachiwa kwa dhamana. Ni baada ya miaka 41 ya kusota...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATI ya watu 20 wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa kijamii wa Instagram, 14 wanatoka nchini Marekani.
Hata hivyo, wanasoka...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UGIRIKI na Japan ndizo nchi zinazotajwa kuwa na kipimo kigumu zaidi kwa dereva kukabidhiwa leseni na kuingia barabarani.
Kwa Ugiriki, dereva anayehitaji...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UMEWAHI kujiuliza maisha yangekuwa magumu kiasi gani bila uwepo wa chumvi kwenye mboga? Sasa, kwa taarifa yako, binadamu alianza kutumia kiungo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BILIONEA Elon Musk, ambaye ndiye mmiliki wa X , ndiye mtu mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa kijamii. Wafuasi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
“HAIUZWI kwa mtu mwenye umri chini ya miaka 18.” Ni kaulimbiu maarufu katika matangazo ya kampuni za pombe. Kwamba bidhaa hiyo...
PARIS, Ufaransa
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, anaanza ziara yake ya siku nne mjini Paris, Ufaransa, huku waumini takribani 600,000 wakitarajiwa kumpokea.
Rais...
JAKARTA, Indonesia
MLIPUKO wa Volcano katika Mlima Anak Krakatau umesababisha kusitishwa kwa safari za ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta mjini Jakarta,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SHIRIKA la Watoto la Umoja wa Mataifa limefanya utafiti wake na kubaini ongezeko kubwa la vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia...