MIAMI, Marekani
STRAIKA wa timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa, Kyian Mbappe, ndiye aliyeibua na tuzo ya Mfungaji Bora wa msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia (2026).
Licha ya Ufaransa kuishia nusu fainali, Mbappe amebeba...
MIAMI, Marekani
NYOTA wawili wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lisandro Martinez na Cristian Romero, walionekana wakikwepa kupeana mikono na Rais wa Marekani, Donald Trump.
Ni wakati wa kukabidhiwa medali ya kufika fainali ya msimu huu...
LOS ANGELES, Marekani
ACHANA na milionea. Sahau pia kuhusu bilionea. Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk, amekuwa trilionea kwa kwanza hapa duniani.
Musk amefikia hadhi hiyo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
LICHA ya changamoto za kidunia, ukiwamo mgogoro wa Mashariki ya Kati unaozihuisha Marekani na Israel dhidi ya Iran, uchumi wa Tanzania...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMPUNI ya Airtel Africa imeendelea kuimarisha mchango wake katika maendeleo ya kijamii, kiuchumi na mazingira barani Afrika baada ya kuongeza upatikanaji...
MADRID, Hispania
WANACHAMA takribani 700,000 wa klabu ya Real Madrid watapiga kura leo Juni 7, 2026 kuchagua Rais atakayeongoza kwa miaka minne ijayo.
Kwa sasa, vita...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MAJUKWAA ya kidigitali yamekuwa na faida kubwa kwa klabu za soka kuitangaza 'brand' yake, kama ilivyo muhimu kwa biashara zingine.
Aidha, si...
LOS ANGELES, Marekani
TAARIFA ya Serena Williams kutaka kurejea katika tenesi imeshangaza wapenzi wa tenesi duniani kutokana na umri mkubwa wa staa huyo.
Licha ya umri...
Na Hassan Mwasha
MAISHA ya Juma Mgota, mkazi wa Mtaa wa Muhalitan, Tandale jijini Dar es Salaam, yanaweza kuwa sehemu ndogo tu ya madhila wanayopitia...
LONDON, Uingereza
WIKIENDI hii, Washika Bunduki wa London, Arsenal, na matajiri wa Paris, PSG, watavaana katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Vita hiyo...
DAKAR, Senegal
TAKWIMU zinaeleza kuwa asilimia 30 ya dawa za kulevya zinazokwenda Ulaya hupita barani Afrika, hasa katika mataifa ya Magharibi, ikiwamo Senegal.
Hiyo ni kwa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
WAKATI Uganda na Kenya zikiwa zimeshapata mabingwa wa msimu huu katika Ligi Kuu zao, hapa nchini bado 'ugali moto, mboga moto'...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TAKRIBANI nusu ya mabilionea wenye umri mdogo duniani (chini ya miaka 30) walipata utajiri huo kupitia biashara walizorithi kutoka katika familia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA utafiti wake, Kampuni ya Microsoft imebaini kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ndiyo nchi inayoongoza kwa matumizi ya 'akili-unde'...