Ads: info@gazetini.co.tz |
27.2 C
Dar es Salaam

Ukimwi

TEHRAN, Iran SIKU chache tu baada ya Marekani kutangaza vikwazo vipya kwa Iran, uhaba wa mafuta umeripotiwa kuyakabili maeneo mengi ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu. Hilo limethibitishwa na foleni kubwa katika vituo vya mafuta katika mitaa nchini...
LONDON, Uingereza DIRISHA kubwa la usajili wa kiangazi Ligi Kuu ya England lilifungwa Septemba 1, 2026, huku kiungo aliyetoka Chelsea na kutua Manchester City, Enzo Fernandez, akiandika historia mpya. Manchester City walitumia Pauni milioni 125 kumng’oa Stamford...

Iraq: Wanaosafiri nje ya nchi wanaongeza maambukizi Ukimwi

BAGHDAD, Iraq WIZARA ya Afya ya Iraq imeripoti ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, huku ikitupa lawama kwa raia wa nchi hiyo wanaosafiri kwenda...

Simulizi ya wanandoa wanaoishi na UKIMWI

KIGALI, Rwanda ILIKUWA ni Januari, 2020, ambapo akiwa anatoka saluni katika mitaa ya mjini Kigali, Janvier Igabe alikutana na mwanadada Josiane Tuyishimire. Baada ya mazungumzo, walikubaliana...

Mafanikio ya Rwanda maambukizi ya UKIMWI

KIGALI, Rwanda KWA miaka ya hivi karibuni, Rwanda imewekeza vya kutosha katika kukabiliana na ugonjwa wa Ukimwi, takwimu zinaeleza. Kwa mwaka 2024, maambukizi mapya ya virusi...

Dunia yaadhimisha Siku ya UKIMWI kwa onyo kali na wito wa kuchukua hatua

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Dunia leo Desemba 1, 2025, inaadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani, huku Umoja wa Mataifa ukitoa onyo kali kuhusu mustakabali wa mapambano...

‘Bluetoothing’ yageuka janga Fiji, maambukizi ya VVU yaongezeka mara kumi

Suva, FIJI Fiji sasa inakabiliwa na mlipuko mkubwa wa Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wataalamu wakionya kuwa nchi hiyo iko katika “dhoruba kamili” ya kiafya...

TACAIDS na CDC kuimarisha mikakati ya uendelevu wa Mwitikio wa UKIMWI nchini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kwa kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) nchini Tanzania wamekutana...

TACAIDS yajipanga kutokomeza UKIMWI ifikapo 2030

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imeeleza dhamira yake ya kutokomeza UKIMWI ifikapo mwaka 2030, kupitia mikakati madhubuti ya kupunguza maambukizi...

TACAIDS yakutanisha wadau kujadili matokeo ya Tafiti za VVU na UKIMWI

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imewakutanisha wadau wa taasisi zinazofanya tafiti kuhusu VVU na UKIMWI nchini kujadili matokeo ya tafiti...

TACAIDS yahimizwa kuongeza kasi ya huduma za VVU na UKIMWI kwa jamii za wavuvi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeitaka Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kuongeza juhudi katika...

VETA, TACAIDS kushirikiana kuwanusuru vijana na maambukizi ya VVU

Na Mwandishi Wetu, GazetiniMamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) na Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS), Septemba 23, 2024, wamesaini...

TACAIDS yapongezwa kwa malengo yanayotekelezeka ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

Na Nadhifa Omary, TACAIDS Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imepongeza Menejimenti ya Tume hiyo  kwa kujiwekea malengo yanayotekelezeka yenye lengo la kumaliza...

Utafiti| Asilimia 15 ya wagonjwa wa VVU wana kiwango cha juu cha sukari

Na Nora Damian, Gazetini Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umebaini asilimia 15 ya wagonjwa wenye Virusi vya UKIMWI...

Recent articles