Na mwandishi wetu, Gazetini
MFANYABIASHARA na mkazi wa Bunju A, Laurence Kweka (48), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, akikabiliwa na shtaka moja la mauaji ya mkewe, Jane Maloo Urassa, kwa kumpiga risasi.
Kweka...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Mradi wa Kuunganisha Gridi za Umeme za Tanzania na Zambia (Tanzania–Zambia Interconnector Project – TAZA) ni uwekezaji muhimu utakaokuwa chachu ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA mwaka 2025, Ukraine ndiyo nchi iliyopokea misaada mingi ya nje kutoka Marekani. Taifa hilo la Ulaya Mashariki lilipokea Dola za...
BERLIN, Ujerumani
UTAFITI uliofanywa na Taasi ya R+V ya mjini Berlin umebaini kuwa idadi ya wananchi wa Ujerumani wanaolalamikia ugumu wa maisha imeongezeka na kufikia...
Na Derick Milton, Gazetini-Simiyu
UIBUAJI wa miradi ya maendeleo usiozingatia ushirikishwaji wa wadau unatajwa kuwa moja ya sababu za kutokufanya vizuri kwa baadhi ya miradi...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MASHABIKI wa soka nchini bado hawajavutiwa na mwenendo wa timu yao ya Taifa ‘Taifa Stars’ tangu ilipoanza kunolewa na kocha wa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
SEKTA ya elimu imekuwa na tija kubwa katika maeneo ya mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla. Katika taifa lololote, mfumo...
ADDIS ABABA, Ethiopia
HALI ya kisiasa nchini Ethiopia inaibua uwezekano wa nchi hiyo kuingia kwenye vita. Mvutano kati ya Serikali na Chama kinachodhibiti Kaskani mwa...
CAIRO, Misri
UKIACHA Tanzania, Kenya na Uganda ambazo ni wenyeji, timu zingine 21 zinasaka tiketi ya kushiriki fainali zijazo za Mataifa ya Afrika .
Kwa upande...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA mujiu wa utafiti wa Taasisi ya Mount Elgon, wanyama aina ya tembo hujitibu kwa mitishamba wanapopata wanapokabiliwa na magonjwa mbalimbali.
Aidha,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATI ya watu 20 wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa kijamii wa Instagram, 14 wanatoka nchini Marekani.
Hata hivyo, wanasoka...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UGIRIKI na Japan ndizo nchi zinazotajwa kuwa na kipimo kigumu zaidi kwa dereva kukabidhiwa leseni na kuingia barabarani.
Kwa Ugiriki, dereva anayehitaji...