CATALUNYA, Hispania
KLABU ya Barcelona haijachana na mpango wake wa kumsajili mpachikaji mabao hatari wa Manchester City na timu ya Taifa ya Norway, Erling Haaland.
Barcelona, kama ilivyo Real Madrid, imejaribu mara kadhaa kumsajili Haaland lakini kipengele ni...
LONDON, Uingereza
WINGA wa Arsenal, Noni Madueke, anawindwa na klabu za Juventus na Atletico Madrid kuelekea dirisha dogo la usajili hapo Januari, 2027.
Madueke aliyesajiliwa na Arsenal mwaka 2025 akitokea Chelsea, amejikuta hana uhakika wa kuingia kikosi cha...
LOS ANGELES, Marekani
TAARIFA ya Serena Williams kutaka kurejea katika tenesi imeshangaza wapenzi wa tenesi duniani kutokana na umri mkubwa wa staa huyo.
Licha ya umri...
Na Hassan Mwasha,Gazetini
KWA mashabiki wa soka wa Tanzania, macho na masikio yao yameelekezwa katika vita mbili kubwa. Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na ile...
MIAMI, Marekani
NYOTA anayeshika nafasi ya pili kwa ubora duniani, Jannik Sinner, ameingia fainali ya michuano ya Miami Open baada ya kumtandika Alexander Zverev.
Sinner ameshinda...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SHIDA kubwa tuliyonayo ngozi nyeusi ni kushindwa kutofautisha kati ya jambo la starehe na lile la lazima/muhimu. Hao ndipo tunapofeli.
Huwa tunaanza...
MIAMI, Marekani
SUPASTAA wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, hana mpango wa kuondoka katika klabu ya Inter Miami ya Ligi Kuu nchini Marekani...
LOS ANGELES, Marekani
UKIWEKA kando soka, masumbwi ni mchezo mwingine unaofuatiliwa zaidi, ukifuatiwa na mpira wa kikapu. Takwimu zinaonesha hivyo.
Kutokana na ushawishi wake duniani, mchezo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
PATRICK Kluivert, mzaliwa wa jiji la Amsterdam nchini Uholanzi, alikulia katika familia yenye mapenzi makubwa kwa mchezo wa soka. Baba yake...
*Wataalamu waeleza kuwa ni chanzo cha majanga makubwa matatu
*Serikali yatakiwa kuwa macho kuhakikisha wapunguza madhara
Na Faraja Masinde, Gazetini
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga...
JUMAPILI Januari 9, 2022 kivumbi cha Fainali za AFCON 2021 kiaanza kutimua vumbi nchini Cameroon.
Jina ‘Afcon 2021’ limetokana na ukweli kwamba michuano hii ilitarajiwa...
UKWELI usio na shaka ni kwamba sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini imeonekana kupiga hatua kubwa katika miaka ya hivi karibuni.
Hata hivyo, ukuaji huo...