Ads: info@gazetini.co.tz |
26.1 C
Dar es Salaam

Elimu

    Na Hassan Mwasha, Gazetini LICHA ya kutanguliwa kwa bao la mapema, Simba wameweza kuamka na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga, huku nyota wa kigeni, Neo Maema na Elie Mpanzu, wakiibuka mashujaa kwa upande...
    LONDON, Uingereza ARSENAL wamepata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leeds United uliochezwa leo Oktoba 10, 2026. Washika Bunduki ni kama wamerejea kwenye reli baada ya kufungwa mabao...

    ‘Niqab’ zapigwa marufuku shuleni

    MILAN, Italia SERIKALI ya Italia imepitisha sheria inayopiga marufuku wanafuzi wa kike kuvaa niqab wawapo shuleni. Hata hivyo, sheria hiyo imeweka wazi kuwa katazo hilo...

    Msigwa atoa onyo kutumia vibaya vitambulisho vya NIDA

    Na Esther Mnyika, Gazetini MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewaonya wananchi dhidi ya kukabidhi vitambulisho au namba zao za Taifa kwa watu wengine kwa...

    BoT yawataka wasanii kuwa mabalozi wa elimu ya fedha

    Na Esther Mnyika, Gazetini BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka wasanii, waandaaji wa burudani, watayarishaji wa maudhui na wadau wengine wenye ushawishi kwa jamii kutumia...

    Afrika na kigezo cha ‘digrii’ kuwania urais

    Na mwandishi wetu, Gazetini KENYA imetangaza kuondosha kigezo cha kuwa na Shahada ya chuo kikuu kama kigezo cha mgombea wa kiti cha urais. Hii ni...

    UNESCO: Watoto wa kike wanazuiwa kwenda sekondari Afghanistan

    NEW YORK, Marekani  SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeeleza katika ripoti yake kuwa wasichana takribani milioni 2.4 nchini Afghanistan wamenyimwa...

    UDOM yang’ara Nanenane kwa ubunifu, teknolojia

    Na mwandishi wetu, Gazetini CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuthibitisha nafasi yake kama kitovu cha utafiti, ubunifu na teknolojia nchini baada ya kuwasilisha bunifu...

    WMA yawafundisha watoto vipimo, Naibu waziri apongeza

    na mwandishi wetu, Gazetini NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Chande, amefurahishwa na uelewa mkubwa ulioonyeshwa na wanafunzi waliopata elimu ya vipimo katika banda...

    PBPA yatoa elimu kuhusu mfumo wa uagizaji mafuta kwa pamoja

    Na mwandishi wetu, Gazetini WAKALA wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) unasimamia Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja, ambao umeisaidia Serikali kuhakikisha bidhaa za mafuta...

    Binti aliyefaulu Kidato cha Tano aokolewa kabla ya kuozeshwa Shinyanga

    Na Mwandishi Wetu, Shinyanga JUHUDI za Serikali za kupambana na ndoa za utotoni zimezaa matunda mkoani Shinyanga baada ya operesheni maalumu kumuokoa binti aliyekuwa amefaulu...

    Watekaji wa wanafunzi Nigeria wafungwa maisha

    LAGOS, Nigeria MAHAKAMA nchini Nigeria imewahukumu kifungo cha maisha jela wanaume watatu baada ya kupatikana na hatia ya makosa yanayohusiana na utekaji wa makumi ya...

    Wananchi wengi wanaisikia Dira 2050, lakini…

    Na mwandishi wetu, Gazetini Licha ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kuendelea kujadiliwa katika ngazi mbalimbali, bado wananchi wengi hawajaielewa kwa kina, jambo linaloonyesha...

    BoT inavyolinda mfumo wa fedha dhidi ya utakatishaji

    Na Esther Mnyika, Gazetini MFUMO wa fedha ulio salama na unaoaminika ni nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi na kuvutia uwekezaji. Hata hivyo, mafanikio hayo...

    Recent articles