Na mwandishi wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Benki ya...
Na Faraja Mulungu, Gazetini
KAMPUNI ya Lake Energies imezindua mfumo wa kidijitali unaowawezesha wateja kujihudumia wenyewe katika vituo vya mafuta, hatua inayolenga kupunguza muda wa kupata huduma na kuongeza matumizi ya teknolojia katika sekta ya mafuta nchini.
Mfumo...
Na Malima Lubasha, Gazetini
WADAU mbalimbali wa maendeleo pamoja na taasisi wilayani Serengeti, mkoani Mara, wametakiwa kuwawezesha wanawake wajasiriamali wanaofanya biashara katika Soko Kuu la...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
TANZANIA imeweka lengo la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034, huku Serikali ikisisitiza ushiriki...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, amekipongeza Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kwa kuendelea kuandika na...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Tanzania imepata nyongeza ya nguvu katika jitihada za kuhamia kwenye matumizi ya nishati safi baada ya TaTEDO – Sustainable Energy Services...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MKURUGENZI Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET), John Chikomo, amesema asasi za kiraia zina nafasi muhimu...
Na Malima Lubasha, Gazetini- Serengeti
MWANAMKE mmoja mjamzito, Bhoke Mahumo (28), mkazi wa Kijiji cha Mbirikili, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amenusurika kufa baada ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMPUNI ya Airtel Africa imeendelea kuimarisha mchango wake katika maendeleo ya kijamii, kiuchumi na mazingira barani Afrika baada ya kuongeza upatikanaji...
Na wandishi wetu, Gazetini
Mpango huo umetajwa kuwa sehemu ya mkakati wa Green Corridor Initiative unaolenga kuunganisha njia za kijani katika maeneo ya mijini ili...
Na mwandishi wetu, Gazetini
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kimetoa wito kwa jamii, Serikali na wadau mbalimbali kuongeza kasi ya hatua...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SERIKALI kupitia Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetunuku Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) tuzo...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jumatatu, Mei 18, 2026 limepitisha Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema hadi Aprili 2026, jumla ya nyumba 2,512 zimeunganishwa na miundombinu ya gesi asilia katika...