Na Hassan Mwasha, Gazetini
LICHA ya kutanguliwa kwa bao la mapema, Simba wameweza kuamka na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga, huku nyota wa kigeni, Neo Maema na Elie Mpanzu, wakiibuka mashujaa kwa upande...
LONDON, Uingereza
ARSENAL wamepata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leeds United uliochezwa leo Oktoba 10, 2026.
Washika Bunduki ni kama wamerejea kwenye reli baada ya kufungwa mabao...
RABAT, Morocco
KUELEKEA Uchaguzi wa Wabunge wa Septemba 23, 2026, wanasiasa nchini Morocco wataanza mikutano ya kampeni ifikapo Septemba 10.
Wagombea zaidi ya 700 kutoka vyama...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu ya tatu ya makala haya, tuliona kilichotokea Aprili 8, 1994, ambapo Spika wa Bunge, Theodore Sindikubwabo, alitangazwa kuwa Rais...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UHASAMA mkubwa wa jamii ya Wahutu na Watutsi ulishuhudiwa tena mwaka 1990. Ni baada ya kundi la Rwandan Patriotic Front (RPF)...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SIKU chache zilizopita, Mahakama mjini The Hague, Uholanzi, ilimuhukumu kifungo cha maisha mwanaume aliyetambulika kwa jina la Eugene N baada ya...
CAPE TOWN, Afrika Kusini
MWANDISHI wa habari maarufu wa Afrika Kusini, Robert Marawa, amefichua kuwa kocha mkongwe, Pitso Mosimane, ndiye atakayeinoa timu ya soka ya...
CAIRO, Misri
AFRIKA hutumia zaidi ya Dola za Marekani bilioni 100 kila mwaka kuagiza vyakula kutoka nje, huku wataalamu wakihimiza juhudi za makusudi za kupunguza...
HARARE, Zimbabwe
WAUMINI wa Kikiristo takribani 27 waliokuwa wanakwenda kanisani wamepoteza maisha baada ya basi lao dogo kupata ajali nchini Zimbabwe.
Kwa mujibu wa taarifa ya...
LUSAKA, Zambia
KIONGOZI wa siasa za upinzani nchini Zambia, Brian Mundubile, na mgombea mwenzake wake katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni, Makebi Zulu, wameshikiliwa na...
NIAMEY, Niger
WANANCHI wa Niger wamelala usiku wa kuamkia leo wakiwa na hofu baada ya milio ya risasi na risasi na bunduki kusikika mjini Niamey.
Washambuliaji...
KINSHASA, DRC
WAWAKILISHI wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Kundi la waasi la M23 wamekutana mjini Geneva, Uswis, na kukubaliana kuweka...