Na mwandishi wetu, Gazetini
MFANYABIASHARA na mkazi wa Bunju A, Laurence Kweka (48), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, akikabiliwa na shtaka moja la mauaji ya mkewe, Jane Maloo Urassa, kwa kumpiga risasi.
Kweka...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Mradi wa Kuunganisha Gridi za Umeme za Tanzania na Zambia (Tanzania–Zambia Interconnector Project – TAZA) ni uwekezaji muhimu utakaokuwa chachu ya...
MERSEYSIDE, Uingereza
MSHAMBULIAJI raia wa Ufaransa, Bradley Barcola, alipachika ‘hat trick’ jana Oktoba 14, 2026, wakati Liverpool ilipoitandika LASK Linz mabao 6-3 katika mechi ya...
MADRID, Hispania
MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe, amekuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufikisha mechi 100 za Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Awali, rekodi hiyo ilikuwa...
MERSEYSIDE, Uingereza
KLABU ya Liverpool imeingia mazima katika mbio za kuiwania saini ya kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Mexico, Gilberto Mora.
Mora ametimiza umri wa miaka...
LONDON, Uingereza
KOCHA asiye na kazi tangu alipofukuzwa na Nottingham Forest mwishoni mwa msimu uliopita , Vitor Pereira, yuko njiani kurejea kazini.
Pereira, ambaye aliwahi pia...
LONDON, Uingereza
SAINI ya winga wa Newcastle United, Bazoumana Toure, inawaniwa na klabu kubwa mbili za Ligi Kuu ya England , Arsenal na Manchester United.
Ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MWAKA 1960, mwanasayansi mmoja alibashiri kuwa dunia itafikia ukomo ifikapo Novemba 13, 2026. Ubashiri huo ulifanywa na mwanasayansi wa Chuo Kikuu...
*Makamu wa Rais, Waziri waisifu PPRA kwa kuwezesha vijana
Na mwandishi wetu, Gazetini-Rukwa
Makundi maalum ya Watanzania yamepata mikataba 3,466 ya zabuni za umma yenye thamani...
LONDON, Uingereza
ARSENAL haijafunga bao la kipindi cha kwanza katika mechi tano mfululizo ilizocheza hivi karibuni, iwe kwenye Ligi Kuu au Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Washika...
LONDON, Uingereza
VIGOGO wa London, Chelsea na Arsenal, wako kwenye mchuano mkali wa kuiwania huduma ya kiungo wa Inter Milan ya Italia, Andy Diouf.
Nyota huyo...
LONDON, Uingereza
KLABU za Manchester United, Tottenham na Everton zimejikuta kwenye ushindani mkali wa kuiwania saini ya straika wa Dinamo Zagreb, Dion Beljo.
Mtandao wa TEAMtalk...
LISBON, Ureno
MTOTO wa Cristiano Ronaldo amechagua kuiwakilisha Ureno katika ngazi ya timu ya taifa, licha ya kwamba angeweza kuchagua nchi nyingine.
Cristiano Ronaldo Jr ameichagua...
BUONES AIRES, Argentina
LIONEL Messi ameshastaafu kuitumikia timu ya soka ya Taifa ya Argentina na hivi karibuni alicheza mechi yake ya mwisho, ambapo waliifunga Benin...