Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Maisha

Na Hassan Mwasha, Gazetini LICHA ya kutanguliwa kwa bao la mapema, Simba wameweza kuamka na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga, huku nyota wa kigeni, Neo Maema na Elie Mpanzu, wakiibuka mashujaa kwa upande...
LONDON, Uingereza ARSENAL wamepata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leeds United uliochezwa leo Oktoba 10, 2026. Washika Bunduki ni kama wamerejea kwenye reli baada ya kufungwa mabao...

Maduka Okoye: Kipa Nigeria ‘anayejirusha’ na Cardi B

LOS ANGELES, Marekani ZIMEIBUKA ripoti zinazodai kuwa kipa wa kimataifa wa Nigeria, Maduka Okoye, 'anatoka' na bibiye mwenye jina kubwa katika muziki wa Hip hop...

Usichokijua kuhusu mvutano wa tajiri Elon Musk na ‘ex’ wake

LOS ANGELES, Marekani BINADAMU wa kwanza kuwa trilionea, Elon Musk, alisherehekea kutimiza umri wa miaka 56 jana Juni 28, 2026. Mbali ya kusherehekea kutimiza umri huo,...

Maisha, utata wa kifo, maziko ya Rais Edgar Lungu (4)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu ya tatu ya mfululizo wa makala haya, tuliona Lungu akirejea katika nafasi yake ya Rais wa PF baada ya...

Baba Levo: Muziki, upinzani, ‘uchawa’ hadi mjengoni

Na Hassan Mwasha, Gazetini NI mwanamuziki? Ndiyo. Hiyo ndiyo sura yake ya kwanza iliyomtambulisha Baba Levo mbele ya walio wengi. Achana na maisha binafsi, ambayo ndugu,...

Maisha, utata wa kifo, maziko ya Rais Edgar Lungu (3)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu ya pili ya makala haya,tuliona Lungu akipoteza kiti cha urais mbele ya mpinzani wake, Hichilema, ambaye awali alimshinda mara...

Maisha, utata wa kifo, maziko ya Rais Edgar Lungu (2)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA toleo la kwanza lililopita, tuliona Lungu akikaimu urais baada ya Michael Sata kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu....

Kifo cha baba yake Minaj kilivyoipa mkwanja mrefu familia yake

LOS ANGELES, Marekani HATIMAYE mama mzazi wa rapa Nicki Minaj, Carol Maraj, amefuta kesi baada ya mtu aliyemuua mumewe kukubali kulipa fidia ya Dola za...

Maisha, utata wa kifo, maziko ya Rais Edgar Lungu (1)

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini imeitangazia ushindi familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, katika rufaa yake dhidi...

Recent articles