Ads: info@gazetini.co.tz |
26.1 C
Dar es Salaam

Michezo

Na Hassan Mwasha, Gazetini LICHA ya kutanguliwa kwa bao la mapema, Simba wameweza kuamka na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga, huku nyota wa kigeni, Neo Maema na Elie Mpanzu, wakiibuka mashujaa kwa upande...
LONDON, Uingereza ARSENAL wamepata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leeds United uliochezwa leo Oktoba 10, 2026. Washika Bunduki ni kama wamerejea kwenye reli baada ya kufungwa mabao...

Otamendi naye astaafu Argentina

LONDON, Uingereza BEKI Nicolas Otamendi amekuwa staa mwingine kutangaza kustaafu kuitumikia timu ya soka ya Argentina baada ya Lionel Messi. Otamendi alikuwa kikosini wakati Messi anacheza...

Modric ataka kurudi Madrid

MADRID, Hispania KIUNGO wa kimataifa wa Croatia, Luka Modric, amekiri kuwa anatamani kurejea Real Madrid kwa gharama yoyote. Modric aliondoka katika klabu hiyo ya Ligi Kuu...

Simba v Yanga … Rekodi hizi hapa, bado dakika 90 tu

Na Hassan Mwasha, Gazetini ZIMEBAKI siku mbili tu na safari hii ngoma inapigwa katika Uwanja wa Uhuru, huku timu zote zikiwa zimekusanya pointi 18 katika...

Staa England apigiwa hesabu AC Milan

MILAN, Italia RIPOTI kutoka nchini Italia zinadai kuwa AC Milan inamtolea macho kiungo wa Brighton ya England, Yasin Ayari. Usajili huo umependekezwa na kocha wa sasa...

United, Arsenal, Chelsea zatoana macho kwa kinda

LONDON, Uingereza KLABU za Manchester United, Arsenal na Chelsea ziko kwenye vita kali ya kuiwania saini ya mshambuliaji wa Freiburg ya Bundesliga na timu ya...

Sabalenka ang’olewa China Open

BEIJING, China LICHA ya kushika nafasi ya pili katika viwango vya ubora duniani, staa wa tenesi, Aryna Sabalenka, amejikuta akitolewa kwenye michuano ya China Open. Hii...

Bruno: Ronaldo aheshimiwe, ni nembo ya Ureno

LISBON, Ureno LICHA ya yote yaliyotokea, kiungo wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Bruno Fernandes, anaamini bado Cristiano Ronaldo anapaswa kupewa heshima anayostahili. Kauli...

Cazorla: Yamal apewe tu Ballon d’Or yake

MADRID, Hispania KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Santi Cazorla, anaamini winga wa Barcelona, Lamine Yamal, ana kila sababu ya kutwaa tuzo ya mwaka huu ya...

Tuzo za CAF sasa Desemba 7

CAIRO, Misri TUZO za mwaka huu za Shirikisho la Soka barani Afrika zitatolewa Desemba 7, 2026 katika hafla itakayofanyika jijini Lagos, Nigeria. Kama itakumbukwa, hii...

Lewandowski amegoma kuzeeka, atupia ‘hat-trick’

WARSAW, Poland LICHA ya umri wake wa miaka 38, straika wa timu ya soka ya Taifa ya Poland, Robert Lewandowski, ameendeleza moto wake wa kucheka...

Straika anayeinyima usingizi Barcelona

CATALUNYA, Hispania KLABU ya Barcelona inamuona staa wa Club Brugge ya Ubelgiji, Nicolo Tresoldi, kama mshambuliaji sahihi wa kusajiliwa ifikapo Januari, 2027. Barcelona walijaribu kumsajili straika...

United yamganda Mateta wa Palace

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United haijaachana na mpango wake wa kumsajili mpachikaji mabao tishio wa Crystal Palace, Jean-Philippe Mateta. Hata hivyo, taarifa zinaeleza kuwa Man...

Recent articles