LONDON, Uingereza
KATIKA dakika ya 89 ya mchezo wa Championship dhidi ya Millwall, kiungo wa West Ham United, Mohamadou Kante, alifanya aliwakosha mashabiki na wachezaji wenzake baada ya kucheza rafu iliyomsababishia kadi nyekundu.
Ikiwa ni 'derby ya London',...
MERSEYSIDE, Uingereza
KLABU ya Liverpool iko mbioni kumpa mkataba mpya kiungo wake raia wa Ujerumani, Florian Wirtz, licha ya kusuasua kwa kiwango chake.
Nyota huyo hajafunga bao katika mechi 12 alizocheza hivi karibuni akiwa na Liverpool na timu...
LONDON, Uingereza
KABLA ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026), hawakuwa na majina makubwa, lakini sasa wanawindwa na klabu kubwa...
CAIRO, Misri
RAIS wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amempongeza Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, akimtaja kuwa kiongozi...
BOSTON, Marekani
FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizochezwa kwa siku 39, kwenye viwanja 16, zikishirikisha wachezaji 1,039 kutoka timu 48, zilishuhudia...
BUENOS AIRES, Argentina
HIVI unafahamu kuwa marais wa Argentina wamekuwa makini kuhudhuria viwanjani na wengine hubaki nyumbani pindi timu yao ya soka ya Taifa inapocheza...
MIAMI, Marekani
NYOTA wawili wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lisandro Martinez na Cristian Romero, walionekana wakikwepa kupeana mikono na Rais wa Marekani,...
LONDON, Uingereza
MIONGONI mwa nyota wapya waliotua Chelsea majira haya ya kiangazi ni Geovany Quenda, ambaye amekiri kuwa ni shabiki mkubwa wa Cristiano Ronaldo.
Quenda alizaliwa...
MIAMI, Marekani
SAHAU kabisa kuhusu matokeo. Fainali ya Kombe la Dunia iliyochezwa jana iliwakutanisha makocha wawili, Luis de la Fuente wa Hispania na Lionel Scaloni...
Miami, Marekani
KAMPUNI ya utengenezaji na usambazaji wa vifaa vya michezo ya Adidas ndiyo iliyoongoza kwa kuhudumia timu nyingi wakati wa fainali za Kombe la...