Ads: info@gazetini.co.tz |
23.8 C
Dar es Salaam

Featured

Nchi zinazoongoza kwa kununua ‘drones’ duniani

Na mwandisi wetu, Gazetini KUANZIA mwaka 2022 hadi 2025, Ukraine imeagiza ndege zisizo na rubani 8,664. Idadi hiyo ni zaidi ya nusu ya ‘drones’...

Nchi zinazotegemea zaidi misaada ya Marekani

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mwaka 2025, Ukraine ndiyo nchi iliyopokea misaada mingi ya nje kutoka Marekani. Taifa hilo la Ulaya Mashariki lilipokea Dola za...

Utafiti: Maisha ni magumu nchini Ujerumani

BERLIN, Ujerumani UTAFITI uliofanywa na Taasi ya R+V ya mjini Berlin umebaini kuwa idadi ya wananchi wa Ujerumani wanaolalamikia ugumu wa maisha imeongezeka na kufikia...

Lewandowski amegoma kuzeeka, atupia ‘hat-trick’

WARSAW, Poland LICHA ya umri wake wa miaka 38, straika wa timu ya soka ya Taifa ya Poland, Robert Lewandowski, ameendeleza moto wake wa kucheka...

Polisi ‘watifuana’ na waandamaji Ufaransa

PARIS, Ufaransa POLISI nchini Ufaransa wamelazimika kuingilia kati maandamano makubwa yanayoongozwa na wanafunzi wanaolalamikia ubora wa elimu. Maandamano hayo yamesababisha shule zaidi ya 700 kutokuendelea...

Urusi yashambulia daraja jingine Ukraine

KYIV, Ukraine SHAMBULIZI la Urusi limeshambulia na kuharibu daraja kubwa la pili mjini Kyiv, ukiwa ni mwendelezo wa vita vya nchi hizo vilivyodumu kwa miaka...

Straika anayeinyima usingizi Barcelona

CATALUNYA, Hispania KLABU ya Barcelona inamuona staa wa Club Brugge ya Ubelgiji, Nicolo Tresoldi, kama mshambuliaji sahihi wa kusajiliwa ifikapo Januari, 2027. Barcelona walijaribu kumsajili straika...

United yamganda Mateta wa Palace

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United haijaachana na mpango wake wa kumsajili mpachikaji mabao tishio wa Crystal Palace, Jean-Philippe Mateta. Hata hivyo, taarifa zinaeleza kuwa Man...

Arsenal macho kwa kinda Hispania

LONDON, Uingereza KLABU ya Arsenal iko kwenye mawindo ya kiungo wa pembeni wa Granada ya Hispania, Owen Emeka. Wakati huo huo, Newcastle United na Everton ni...

Mkongwe Chelsea amvaa Ronaldo

LONDON, Uingereza KIUNGO wa zamani wa Chelsea, Craig Burley, amemtaka Cristiano Ronaldo kukubaliana na ukweli, kwamba kwa sasa si mchezaji muhimu kwenye kikosi cha timu...

Romero: Messi alinichagua kuwa nahodha

LONDON, Uingereza BEKI wa timu ya Taifa ya Argentina, Cristian Romero, amefichua kuwa Lionel Messi ndiye aliyempendekeza kupewa kitambaa cha unahodha wa kikosi hicho. Romero ameyasema...

Staa Milan aitema Nigeria

MILAN, Italia NYOTA wa AC Milan, Zachary Athekame, ameweka wazi kuwa ameachana na wazo lake la kuitumikia timu ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles'. Shirikisho la...

Recent articles