Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Bussiness

Na mwandishi wetu, Gazetini STAA wa muziki wa Afropop Mr. Eazi hajawatelekeza mashabiki zake, kwani amerudi na wimbo mpya uitwao Comfort. Ngoma hii kali yenye mahadhi ha Afo Pop, amemshirikisha mwanamuziki kutoka Ghana, Moliy anayefahamika kujitengenezea umalkia wake...
MILAN, Italia RIPOTI kutoka nchini Italia zinadai kuwa AC Milan inamtolea macho kiungo wa Brighton ya England, Yasin Ayari. Usajili huo umependekezwa na kocha wa sasa wa Milan, Ruben Amorim, ambaye anataka kuimarisha safu yake ya kiungo. Kocha huyo...

Mkurugenzi Mkuu Halotel atembelea Sabasaba avutiwa na huduma

Na Imani Nathaniel, Gazetini Mkurugenzi Mkuu wa Halotel Tanzania, Bui Van Thang, ametembelea banda la kampuni hiyo katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa...

Beckham na mitego yake ya pesa inayompa maisha ya kibosi

LONDON, Uingereza MEI, 2026, Gazeti la Sunday Times lilimtaja David Beckham kuwa ndiye mwanamichezo pekee wa Uingereza aliyefikia hadhi ya kuitwa bilionea. Kwa mujibu wa chanzo...

Halotel, Samsung wazindua huduma mikopo ya simu janja yenye vifurushi

Na Imani Nathaniel, Gazetini Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel Tanzania kwa kushirikiana na Samsung Electronics, imezindua huduma ya mikopo ya simu janja inayokwenda sambamba na...

Halotel yatinga Sabasaba na ubunifu wa kiteknolojia

Na Imani Nathaniel, Gazetini Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel Tanzania imezindua rasmi ushiriki wake katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es...

Aisha Mohamed: Kutoka Mhasibu hadi kuiongoza GSM Group

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KUNA msemo unaosema, "Viongozi wakubwa hawazaliwi, hujengwa." Katika ulimwengu wa biashara, kauli hiyo inajidhihirisha kupitia watu wanaoanza katika nafasi za kawaida,...

Mabeberu, majirani wanavyopishana ‘kuchota utajiri’ wa DRC

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI wengine wakiamini DRC imefeli katika diplomasia na ulinzi, vita vinavyoendelea nchini humo vinahusishwa pia na hila za mataifa makubwa duniani. Kwamba...

Asali sasa dili Marekani, uzalishaji wapungua

NEW YORK, Marekani KUNA uhitaji mkubwa wa asali nchini Marekani baada ya kiwango cha uzalishaji kushika kwa kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea, kwa mujibu wa...

Mapinduzi ya sekta ya reli nchini Tanzania

Na Hassan Mwasha, Gazetini MOJA ya hatua kubwa zilizopigwa na Shirika la Reli nchini (TRC) ni kuondokana na utegemezi kwa Serikali, ambapo katika Mwaka wa...

Nini chanzo UAE kujitoa OPEC? Ni ushindi kwa Rais Trump?

WASHINGTON DC, Marekani UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE) umetangaza kujitoa katika Umoja wa nchi zinazozalisha mafuta duniani (OPEC), hatua inayotafsiriwa kuwa ni ushindi mkubwa...

Sekta ya Madini Tanzania; bajeti 2026/2027

Na mwandishi wetu, Gazetini BUNGE la Jamhuru ya Muungano wa Tanzania, limeridhia na kupitisha bajeti ya Wizara ya Madini ya sh bilioni 174.9 kwa Mwaka...

Nyuma ya pazia ‘bifu’ zito la Peter, Paul wa P-SQUARE

LAGOS, Nigeria MAMBO yamezidi kuwa mabaya kwa mapacha waliowahi kutikisa soko la muziki barani Afrika kupitia Kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye. Okoye ametangaza rasmi...

Changamoto zinazomsubiri bosi mpya wa Apple

NEW YORK, Marekani KAMPUNI kubwa ya teknolojia dunini ya Apple Inc. imetangaza kuwa mtendaji wake wa muda mrefu, John Ternus, atachukua nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji...

Recent articles