Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Mahakamani

LONDON, Uingereza UTAFITI wa hivi karibuni umedai kuwa asilimia 94 ya klabu za soka za Ligi Kuu ya England hazipati faida, na badala yake zinajiendesha kwa hasara, na nyingi zina madeni mengi na makubwa. Hata hivyo, si...
RIO, Brazil HIVI karibuni, lejendari wa soka la Uholanzi aliyewahi kuwika na AC Milan, Clarence Seedorf, alitua Ligi Kuu ya Brazil, ambako amekabidhiwa mikoba ya kuinoa Corinthians. Hivyo, Seedorf anakuwa kocha wa staa wa zamani wa Manchester United,...

Mahakama ya Rufani yakataa maombi ya DPP kesi ya Lissu

Na mwandishi wetu, Gazetini MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameibuka mshindi tena dhidi ya Jamhuri katika hatua nyingine ya kesi...

Familia ya Rais Lungu yashinda kesi

LUSAKA, Zambia UKIWA ni mwaka mmoja tu tangu kifo cha Rais Edgar Lungu, familia yake imeshinda kesi baada ya Mahakama kuamuru ipewe mwili kwa ajili...

Mwanasheria aliyemuua bosi wake anyongwa

BEIJING, China IKIWA ni miaka miwili imepita tangu alipohukumiwa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bosi wake, mwanasheria Xu Yao amenyongwa leo Mei 28,...

Seneta anayetakiwa ICC akamatwa Ufilipino

MANILA, Ufilipino SERIKALI ya Ufilipino imeagiza vyombo vya dola kumtia nguvuni Seneta wake aliyefunguliwa mashitaka na Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC), Ronald dela Rosa. ICC...

Mhasibu afikishwa Kisutu kwa mashtaka 43 ya uhujumu uchumi

Na Imani Nathaniel, Dar es Salaam Mhasibu Hamid Ahmed Hussein, mkazi wa Ocean Road jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

Lai wa Hong Kong ahukumiwa miaka 20 gerezani

HONG KONG, China MFANYABIASHARA tajiri mjini Hong Kong, Jimmy Lai, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya Mahakama kumkuta na hatia. Awali, lilikuwepo tishio la...

Jela maisha kwa kumuua Waziri Mkuu

TOKYO, Japan TETSUYA Yamagami ambaye ni mshitakiwa wa mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amehukumiwa kifungo cha maisha. Yamagami amekuwa chini ya...

Maduro afikishwa mahakamani New York, washirika wake wapinga

NEW YORK, Marekani RAIS wa Venezuela, Nicolás Maduro, aliyekamatwa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani, amefikishwa katika mahakama ya Manhattan, New York, ambako leo Jumatatu...

Watu 10 wahukumiwa Paris kwa kumdhalilisha mke wa rais

PARIS, Ufaransa Mahakama ya Paris imewatia hatiani watu kumi kwa tuhuma za unyanyasaji wa mtandaoni dhidi ya mke wa Rais wa Ufaransa, Brigitte Macron, baada...

Dereva wa Joshua ashitakiwa

LAGOS, Nigeria DEREVA, Adeniyi Mobolaji Kayode (46) aliyekuwa akiendesha gari lililopata ajali iliyomjeruhi bondia wa uzito wa juu duniani, Anthony Joshua, amefunguliwa mashitaka. Akiwa Nigeria kwa...

DPP awafutia kesi washtakiwa wawili wa kesi ya kuua bila kukusudia

Na Imani Nathaniel, Gazetini MKURUGENZI Mashitaka nchini (DPP), amewafutia kesi washtakiwa wawili kati ya sita waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia. Waliofutiwa mashtaka na...

Shauri la kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo upande wa Jamhuri wakwama nyaraka

Na Imani Nathaniel, Gazetini SHAURI la kuporomoka kwa ghorofa la Kariakoo limekwama kusomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo kwa washitakiwa wa kesi ya mauaji bila...

Recent articles