Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imesaini mkataba wa Sh bilioni 198.67 kwa ajili ya ujenzi wa njia mpya ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 (220kV) kutoka Iganjo mkoani Mbeya hadi Saza mkoani Songwe, pamoja na...
CATALUNYA, Hispania
KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick, amefichua kuwa kiungo wake, Frenkie de Jong, atakuwa fiti wiki chache zijazo.
Flick amezungumzia hayo kuelekea mchezo wao wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi.
De Jong...
BEIJING, China
WABUNGE nne wa New Zealand wamewekewa katazo la kuingia China baada ya ziara yao nchini Taiwan.
Kwa mujibu wa taarifa, ziara hiyo iliwahusisha wabunge...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SPIKA wa Bunge, Mussa Zungu, amewapa siku nne za kujieleza wabunge waliokwenda Morocco kuitazama timu ya soka ya Taifa ya vijana...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MOJA ya hatua kubwa zilizopigwa na Shirika la Reli nchini (TRC) ni kuondokana na utegemezi kwa Serikali, ambapo katika Mwaka wa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KASI kubwa ya maendeleo imeshuhudiwa katika bandari za mwambao wa Bahari ya Hindi na Maziwa Makuu, ikiwamo uboreshaji wa miundombinu unaochagiza...
DAKAL, Senegal
BUNGE la Senegal limepitisha sheria mpya inayolenga kudhibiti tabia ya baadhi ya wabunge wanaosusia vikao vya Bunge bila sababu za msingi, hatua ambayo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema hadi Aprili 2026, jumla ya nyumba 2,512 zimeunganishwa na miundombinu ya gesi asilia katika...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha kundi la watu wenye ulemavu, Nasria Nasri Ally, ameishauri Serikali kujenga shule jumuishi katika kila mkoa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
RAIS wa Kenya, William Ruto, anatarajiwa kuhutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, hotuba itakayofuatliwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa.
Akisoma tangazo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imekusanya Sh.trilioni 26.63 katika kipindi cha July 2025 hadi February, 2026 kati ya lengo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
RIO Brazil
BUNGE la Brazil limewasilisha mswada wa kuomba Rais wa zamani wa Taifa hilo, Jair Bolsonaro, kupunguziwa adhabu ya kifungo cha gerezani.
Bolsonaro mwenye umri...