Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Featured

Modric ataka kurudi Madrid

MADRID, Hispania KIUNGO wa kimataifa wa Croatia, Luka Modric, amekiri kuwa anatamani kurejea Real Madrid kwa gharama yoyote. Modric aliondoka katika klabu hiyo ya Ligi Kuu...

Simba v Yanga … Rekodi hizi hapa, bado dakika 90 tu

Na Hassan Mwasha, Gazetini ZIMEBAKI siku mbili tu na safari hii ngoma inapigwa katika Uwanja wa Uhuru, huku timu zote zikiwa zimekusanya pointi 18 katika...

Dk. Homera azindua huduma mpya za kidijitali

Na mwandshi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Dk. Juma Homera, amezindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliohuishwa pamoja na mifumo na huduma mpya za TANESCO,...

Halotel yaahidi kutoa intaneti bure kwa shule nchini

Na Imani Nathaniel, Gazetini Kampuni ya Halotel imeahidi kutoa huduma ya intaneti bure katika shule nchini, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kusaidia kukuza elimu...

Kolabo ya Mr. Eazi, Moliy heshima zaidi!

Na mwandishi wetu, Gazetini STAA wa muziki wa Afropop Mr. Eazi hajawatelekeza mashabiki zake, kwani amerudi na wimbo mpya uitwao Comfort. Ngoma hii kali yenye mahadhi...

Staa England apigiwa hesabu AC Milan

MILAN, Italia RIPOTI kutoka nchini Italia zinadai kuwa AC Milan inamtolea macho kiungo wa Brighton ya England, Yasin Ayari. Usajili huo umependekezwa na kocha wa sasa...

United, Arsenal, Chelsea zatoana macho kwa kinda

LONDON, Uingereza KLABU za Manchester United, Arsenal na Chelsea ziko kwenye vita kali ya kuiwania saini ya mshambuliaji wa Freiburg ya Bundesliga na timu ya...

Sabalenka ang’olewa China Open

BEIJING, China LICHA ya kushika nafasi ya pili katika viwango vya ubora duniani, staa wa tenesi, Aryna Sabalenka, amejikuta akitolewa kwenye michuano ya China Open. Hii...

Bruno: Ronaldo aheshimiwe, ni nembo ya Ureno

LISBON, Ureno LICHA ya yote yaliyotokea, kiungo wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Bruno Fernandes, anaamini bado Cristiano Ronaldo anapaswa kupewa heshima anayostahili. Kauli...

Cazorla: Yamal apewe tu Ballon d’Or yake

MADRID, Hispania KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Santi Cazorla, anaamini winga wa Barcelona, Lamine Yamal, ana kila sababu ya kutwaa tuzo ya mwaka huu ya...

Tuzo za CAF sasa Desemba 7

CAIRO, Misri TUZO za mwaka huu za Shirikisho la Soka barani Afrika zitatolewa Desemba 7, 2026 katika hafla itakayofanyika jijini Lagos, Nigeria. Kama itakumbukwa, hii...

Nyuma ya pazia ziara za Rais Trump

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amefanya ziara 18 za nje ya nchi tangu aliporejea madarakani na Ulaya ndilo eneo alilotembelea zaidi . Ziara...

Recent articles