Ads: info@gazetini.co.tz |
28.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Mosimane kupewa mikoba Bafana Bafana

CAPE TOWN, Afrika Kusini MWANDISHI wa habari maarufu wa Afrika Kusini, Robert Marawa, amefichua kuwa kocha mkongwe, Pitso Mosimane, ndiye atakayeinoa timu ya soka ya...

Arteta afika ‘levo’ za Ferguson, Wenger

LONDON, Uingereza KOCHA Mikel Arteta ameingia kwenye orodha ya makocha wachache waliowahi kufikisha mechi 250 za Ligi Kuu ya England wakiwa na klabu moja. Orodha hiyo...

Kigogo wa jeshi Marekani ajiuzulu

WASHINGTON DC, Marekani KATIBU wa jeshi la Marekani, Dan Driscoll, amewasilisha barua ya kujiuzulu nafasi hiyo ikiwa ni miezi 18 tu imepita tangu alipoteuliwa. Taarifa za...

Mawaziri Iran, China wakutana

BEIJING, China MATAIFA ya Iran na China yameendeleza uhusiano wao mzuri wa kidiplomasia baada ya viongozi wake wa ngazi za juu serikalini kukutana mjini Bishkek. Waziri...

Maajabu ya kulala wikiendi kwa afya yako

Na mwandishi wetu, Gazetini KULALA kwa saa moja au mbili za ziada katika siku za mapumziko ya wiki (wikiendi) kunapunguza hatari ya kupata shinikizo la...

Dolly azikwa jirani na mumewe

LOS ANGELES, Marekani MKONGWE wa muziki wa Country, Dolly Parton, amezikwa Ijumaa ya wiki iliyopita, Agosti 29, 2026 mjini Tennessee, Marekani. Taarifa zinaeleza kuwa Dolly aliyefariki...

Liverpool yakamilisha usajili wa Barcola

MERSEYSIDE, Uingereza HATIMAYE mshambuliaji raia wa Ufaransa, Bradley Barcola, amejiunga na Liverpool akitokea PSG, usajili huo ukigharimu kitita cha Pauni milioni 123. PSG walitaka Pauni milioni...

Iran, Marekani zashambuliana tena

TEHRAN, Iran KWA mara ya kwanza baada ya wiki mbili, Iran na Marekani zimeshambuliana katika Mlango-Bahari wa Hormuz. Kwa mujibu wa taarifa, vikosi vya kijeshi vya...

Watkins: Sikutaka kuondoka Villa

LONDON, Uingereza STRAIKA Ollie Watkins ameeleza masikitiko yake ya kuondoka klabuni hapo, akisema hakupenda kuachana nayo kwa staili hiyo. Watkins (30), amejiunga na Al-Hilal ya Ligi...

Duh! Djokovic ang’olewa US Open

NEW YORK, Marekani STAA wa tenesi raia wa Serbia, Novak Djokovic, ameishia raundi ya kwanza ya michuano ya US Open. Safari yake kwenye michuano hiyo imeishia...

Utata wa kifo, uhai wa Mojtaba Khamenei

TEHRAN, Iran NI miezi sita sasa tangu Mojtaba Khamenei alipoteuliwa kuwa kiongozi mpya wa Iran baada ya baba yake kuuawa katika shambulizi la kwanza lililofanywa...

Mambo 5 kuhusu vita vya Iran, Marekani

WASHINGTON DC, Marekani IKIWA ni miezi sita imepita tangu vilipoanza vita kati ya Iran na Marekani inayoshirikiana na Israel, mambo yamezidi kuwa magumu kwa pande...

Recent articles