Ads: info@gazetini.co.tz |
32.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Nini hatima ya Novak Djokovic?

NEW YORK, Marekani STAA huyo wa tenesi raia wa Serbia anapitia wakati mgumu. Ametoka kutolewa katika raundi ya kwanza ya msimu huu wa michuano ya...

Messi hana deni Argentina, akapumzike tu!

BUENOS AIRES, Argentina ‘NIMETOA kila kitu, sina nilichobakiza.’ Ni kauli ya Lionel Messi wakati alipotangaza hivi karibuni, kwamba amestaafu kuitumikia timu ya soka ya Taifa...

Lionel Richie; Mtoto wa mwanajeshi aliyeacha uchungaji kisa muziki

LOS ANGELES, Marekani LEJENDARI wa muziki wa Soul na R&B nchini Marekani, Lionel Richie, alikimbizwa hospitali wikiendi iliyopita, kisha kuwekwa ‘ICU’ mjini St. Louis. Richie (77),...

Usiyoyajua kuhusu mauaji ya halaiki ya Rwanda 1994 (3)

Na mwandishi wetu, Gazetini UHASAMA mkubwa wa jamii ya Wahutu na Watutsi ulishuhudiwa tena mwaka 1990. Ni baada ya kundi la Rwandan Patriotic Front (RPF)...

Usiyoyajua kuhusu mauaji ya halaiki ya Rwanda 1994 (2)

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMA tulivyoanza katika sehemu iliyopita, mauaji ya halaiki yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 yaliwahusisha Wahutu na Watutsi, ambayo ndiyo makabila makubwa zaidi...

Usiyoyajua kuhusu mauaji ya halaiki ya Rwanda 1994 (1)

Na mwandishi wetu, Gazetini SIKU chache zilizopita, Mahakama mjini The Hague, Uholanzi, ilimuhukumu kifungo cha maisha mwanaume aliyetambulika kwa jina la Eugene N baada ya...

EU yapiga marufuku nyama kutoka Brazil

RIO, Brazil UMOJA wa Ulaya (EU) umeweka katazo kwa nchi zake kuingiza nyama kutoka Brazil, ikieleza kuwa hatua hiyo inatokana na sababu za kiafya. Kwa mujibu...

Mahakama: Keffe D ndiye aliyemuua Tupac

LOS ANGELES, Marekani MAHAKAMA nchini Marekani imemkuta na hatia kiongozi wa zamani wa genge la uhalifu, Duane Davis 'Keffe D', katika kesi ya mauaji ya...

Benzema avunjiwa mkataba Saudi Arabia

RIYADH, Ureno KLABU ya Al Hilal imethibitisha kuachana rasmi na straika wake raia wa Ufaransa, Karim Benzema, ikieleza kuwa ni makubaliano ya pande mbili. Benzema aliyewahi...

De Paul: Tunamshukuru, tutamkumbuka Messi

MIAMI, Marekani BAADA ya Lionel Messi kutangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Argentina, beki wa kikosi hicho, Rodrigo De Paul, ameibuka na ujumbe wa...

Henry: Sijaona wa kuizuia Arsenal

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal, Thierry Henry, anaiona timu hiyo ikienda kubeba tena taji la Ligi Kuu ya England msimu huu wa 2026-27. Henry raia wa...

Trump: Tunakwenda ‘kuipelekea moto’ zaidi Iran

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema wanajeshi wake watafanya mashambulizi makali dhidi ya Iran baada ya kile walichokifanya wenzao hao. Hivi karibuni, Iran...

Recent articles