Ads: info@gazetini.co.tz |
29.4 C
Dar es Salaam

Infographics

Miji inayoongoza kwa mishahara minono duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI wa Deutsche Bank umefuatilia maisha ya miji 69 duniani na kubaini tofauti iliyopo katika mishahara wanayolipwa wafanyakazi kila mwezi. Aidha,...

Kozi ngumu, zenye mishahara mikubwa

Na mwandishi wetu, Gazetini "UVUMILIVU ni mchungu lakini matunda yake ni matamu." Ni msemo unaotafsiri maisha mazuri wanayoishi waajiriwa baada ya mateso ya 'kozi' ngumu...

Utafiti| Mataifa yanayoongoza kwa watu wake kuaminiana

Na mwandishi wetu, Gazetini NI kwa mujibu wa utafiti uliofanywa mwaka 2022 na kuchapishwa mwaka 2024, ukionesha kuwa Denmark, Norway, Finland, Sweden na Iceland ndiyo...

DCEA: Tumeanza kuwasaka mapapa waliojificha nje ya Nchi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza zaidi ya tani nne za dawa za kulevya zilizokuwa zikihifadhiwa...

Jinsi ya kukabiliana na taarifa za uzushi mitandaoni

Na Winifrida Mtoi, Gazetini TAARIFA za uzushi zimeendelea kusambaa kwa kasi kubwa katika mitandao ya kijamii, hasa kutokana na ongezeko la watumiaji wa majukwaa hayo...

Chart| Kilimanjaro kinara kwa idadi ya wazee Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KULINGANA na takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebaini...

Chart| Liverpool yaongoza matumizi soko la usajili

MERSEYSIDE, England LIVERPOOL ndiyo klabu ya Ligi Kuu ya England iliyotumia fedha nyingi zaidi wakati wa dirisha kubwa la usajili wa kiangazi barani Ulaya. Usajili huo...

Visual| Tanzania na vita ya kuokoa mnyama huyu mashuhuri

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika maadhimisho ya Siku ya Simba Duniani, taarifa mpya zinaonyesha hali ya kutisha kwani Simba, miongoni mwa wanyama mashuhuri barani Afrika,...

Chart| Ujuzi wa AI wazidi kuwa kigezo kwenye ajira duniani

Na Jonathan Benedict, Gazetini Idadi inayoongezeka ya viongozi duniani sasa wanazingatia ujuzi wa kutumia Akili Unde au bandia (AI) kama sharti lisiloweza kupuuzwa wakati wa...

Chart| Sababu kuu zinazowafanya watu kutumia Intaneti

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Takwimu kutoka Global Web Index (GWI) zinaonyesha kuwa miongoni mwa watumiaji wa intaneti duniani wenye umri wa miaka 16 na kuendelea,...

CAF yaipanga Simba ya tano, Yanga ya 12 viwango vya ubora Afrika

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Klabu ya Simba SC imepanda hadi nafasi ya tano katika viwango vipya vya ubora vya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF),...

Visual| Sekta ya Madini ilivyovuka lengo la Trilioni 1 kabla ya wakati

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba, amesema kuwa hadi kufikia Juni 28, 2025 — zikiwa zimebaki siku chache...

Recent articles