Ads: info@gazetini.co.tz |
23.5 C
Dar es Salaam

Infographics

Zanzibar yavunja rekodi ya watalii wa kimataifa chini ya Dk. Mwinyi

Na mwandishi wetu, Gazetini ZANZIBAR imeshuhudia ongezeko kubwa na la kihistoria la watalii wa kimataifa katika kipindi cha miaka sita iliyopita, mafanikio yanayohusishwa moja kwa...

PMM Estates (2001) Ltd: Nguzo ya huduma za bandari kavu na usafirishaji Tanzania

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA zaidi ya miongo miwili sasa, kampuni ya PMM Estates (2001) Limited imeendelea kujijengea heshima kama moja ya taasisi muhimu katika...

Visual| Makusanyo Sekta ya Madini wafikia Trilioni 1.07

Na mwandishi wetu, Gazetini WIZARA ya Madini imetangaza mafanikio makubwa katika utekelezaji wa ahadi na maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku...

Visual| Wanawake 6 wenye ushawishi zaidi Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini WANAWAKE takribani 500,000 waliacha kazi nchini Marekani, kwa mujibu wa takwimu za Jarida la Forbes. Takwimu hizo ni kuanzia Januari hadi...

Visual| Usajili wa watangazaji mapinduzi na hamahama kwenye redio Bongo

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka ya hivi karibuni, wamiliki wa vituo vya redio na runinga hapa nchini wameshuhudiwa wakitunishia msuli wa fedha kwa kunyang'anganya...

Visual| Nchi zinazoongoza kwa Pikipiki ‘bodaboda’ duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini PIKIPIKI ni chombo cha matairi matau kilichojizolea umaarufu mkubwa katika sekta ya usafirishaji. Wengi wanapoziita 'bodaboda' hulenga pikipiki za biashara, ingawa msingi...

Visual| Makocha bora 10 wa muda wote EPL

LONDON, Uingereza KWA miaka zaidi ya 33, Ligi Kuu ya England (EPL) imeshuhudia makocha wakiingia na kutoka, wachache tu wakimudu ushindani uliopo na kujijengea heshima...

Visual| Gen Z wafikia bilioni 1.9, Gen A waongoza duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu duniani, kwa sasa idadi ya vijana waliozaliwa...

Miji 10 kinara kwa ubora wa maisha Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini MAISHA katika miji yote barani Afrika yanatofautiana, hiyo ikitokana na gharama za maisha, ikiwamo uwezo wa watu wake kufanya manunuzi. Haiishii hapo....

Visual| A-Z yaliyojiri fainali za AFCON 2025

RABAT, Morocco BAO pekee la staa wa Villarreal ya Hispania, Pape Gueye, limehitimisha msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) kwa kuipa...

Visual| Utajiri wa mafuta Venezuela: Hadithi ya ahadi na uhalisia

Na mwandishi wetu, Gazetini VENEZUELA inaendelea kushika nafasi ya kwanza duniani kwa utajiri wa akiba ya rasilimali ya mafuta, licha ya changamoto kubwa za kiuchumi...

Visual| Mabilionea 10 walioishika Dunia

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mujibu wa Jarida maarufu la Forbes, mfanyabiashara wa Marekani, Elon Musk, ndiye binadamu mwenye fedha nyingi zaidi duniani. Utajiri wake...

Recent articles