LOS ANGELES, Marekani
PICHA zinazowaonesha mastaa wa muziki Keyshia Cole na Skrilla zimeibua tetesi kuwa huenda wawili hao sasa ni wapenzi.
Katika moja ya picha alizoposti...
Na Hassan Mwasha
MIONGONI wa strori zinazoshika nafasi kubwa mitandaoni ni hii ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali 'Harmonize', kuachana na bibiye wa...
ACCRA, Ghana
STAAA wa muziki nchini Ghana, Shatta Wale, ameeleza kilichosababisha uhusiano wake mbaya na mkali wa Afrobeats, Burna Boy.
Wawili hao waliwahi kuwa washikaji wakubwa,...
Na Hassan Mwasha
KAMA ni mfuatiliaji wa tamthilia za Tanzania zinazorushwa kupitia vituo vya televisheni pekee, basi ni wazi unapitwa na mengi. Jiongeze!
Kwa sasa, mtandao...
YOUNDE, Cameroon
NEW Bell ni moja ya magereza makubwa na maarufu si tu Younde na miji mingine jirani, bali Cameroon kwa ujumla. Wakati fulani, Shirika...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KICHEFUCHEFU! Ndicho unachoweza kuhisi pindi tu unapoingia kwenye mitandao ya kijamii na kukutana na hao wanaojiita 'wachambuzi' wa muziki wa kizazi...
LOS ANGELES, Marekani
SUPASTAA wa muziki wa R&B, Chris Brown, amekutwa na hatia katika kesi ya kumshambulia mtu kwenye ukumbi wa starehe nyakati za usiku.
Brown...
LAGOS, Nigeria
MENEJA maarufu wa wasanii wa muziki nchini Nigeria, Ubi Franklin, amefichua kuwa aliwahi kukaribia kujiua kwa kujirusha darajani jijini Lagos.
Franklin ameanika hayo kupitia...
LAGOS, Nigeria
ALIYEWAHI kuwa mshindi wa Shindano la Big Brother Naija, Mercy Eke, amezua mjadala mzito mitandaoni kwa kauli yake ya kusema hawezi kuolewa na...
Na Hassan Mwasha
VIDEO iliyosambaa mitandaoni ikiwaonesha wafanyabishara matajiri kutoka wilayani Katoro mkoani Geita wakimwaga pesa katika sherehe 'ime-trend' hivi karibuni kwenye tasnia ya burudani...
LOS ANGELES, Marekani
MAMA mzazi wa mrembo anayetokea familia ya Kardashian, Kris Jenner, Mary Jo, amefariki akiwa na umri wa miaka 91.
Kris (70), ndiye aliyetangaza...