DUBLIN, Ireland
SUPASTAA wa muziki nchini Ireland, Glen Hansard, amepoteza Maisha katika ajali ya pikipiki mjini Dublin.
Hansard (56), ambaye ni mshindi wa tuzo za Oscar, alijipatia umaarufu mkubwa kupitia Kundi la Frames.
Alitwaa tuzo hiyo mwaka 2008 kupitia wimbo wake ‘Falling Slowly’ uliotumika pia kwenye filamu ya ‘Once’.
Mwanamuziki huyo aliyezaliwa mwaka 1970, alipata ajali hiyo baada ya pikipiki aliyokuwa anaendesha kupata ajali katika Barabara ya Lower huko Magharibi mwa Dublin.
Enzi za uhai wake, staa huyo wa muziki wa Rock alitamba kwa albamu zake za ‘Didn’t He Ramble’ ambayo iliweza kuwania tuzo za Grammy mwaka 2016.


