Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Nchi zinazoshirikiana na Iran zaonywa

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amezitaka kujiandaa na kibano nchi zitakazoipa ushirikiano Iran. Kauli hiyo ni mwendelezo wa uhusiano mbaya uliopo kati...

Marekani yavunja rekodi ya Deni la Taifa

WASHINGTON DC, Marekani DENI la Taifa la Marekani limefikia Dola trilioni 40, kiasi kikubwa zaidi cha fedha katika historia ya nchi hiyo, huku lawama zikielezwa...

Lewandowski kurudi Barcelona

CATALUNYA, Hispania IMEFICHUKA kuwa uongozi wa klabu ya Barcelona unaangalia uwezekano wa kumrejesha kundini mshambuliaji wake tishio, Robert Lewandowski. Lewandowksi aliyeondoka Barcelona majira haya ya kiangazi,...

Rais Trump na Baraza la Mawaziri la mabilionea

WASHINGTON DC, Marekani VIGOGO wote 57 walioteuliwa na Rais Donald Trump katika awamu yake ya pili madarakani ni matajiri wa kutupwa. Kila mmoja ana utajiri...

Rooney aitaka United kumsajili staa wa Arsenal

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Manchester United, Wayne Rooney, ameishauri klabu hiyo kumsajili 'fasta' nyota wa Arsenal mwenye umri wa miaka 19, Myles Lewis-Skelly. Rooney anaamini ujio...

Barca yampa Rodri jezi namba 16

CATALUNYA, Hispania KIUNGO wa kimataifa wa Hispania aliyejiunga na Barcelona akitokea Manchester City, Rodri, amepewa jezi namba 16 katika kikosi cha Wacatalunya hao. Aliyefichua hayo si...

Waziri Mkuu wa Uingereza: Tutaendelea kuiunga mkono Ukraine

LONDON, Uingereza WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Andy Burnham, amesema Serikali yake inaiunga mkono Ukraine kwa asilimia 100 na itaendelea kufanya hivyo. Kauli yake hiyo inakuja baada...

Adebayor aibuka kumtetea Salah

LONDON, Uingereza BAADA ya kuondoka Liverpool mwishoni mwa msimu uliopita (2025-26), Mohamed Salah amesaini mkataba wa miaka miwili na Trabzonspor ya Ligi Kuu ya Uturuki. Uamuzi...

Rais Trump atishia kuilipua Oman

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameionya Oman akisema hatosita kutuma jeshi lake kuishambulia kwa mabomu endapo itaendelea kujihisha na mgogoro wa Iran. Wakati...

Wanafunzi na matumizi ya dawa za kulevya

Na mwandishi wetu, Gazetini TAARIFA ya Dawa za Kulevya ya Dunia ya mwaka 2025 inaonesha kuwa matumizi ya dawa za kulevya katika umri mdogo yana...

Matumizi ya dawa za kulevya yaongezeka kwa 28% duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini TAARIFA ya hali ya Dawa za Kulevya Duniani ya mwaka 2025 ilionesha kuwa matumizi ya dawa za kulevya yamefikia kiwango cha...

Guardiola ameondoka na Man City yake?

MANCHESTER, Uingereza BAADA ya filimbi ya mwisho katika mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Arsenal jana Agosti 16, 2026, kocha Enzo Maresca alisema...

Recent articles