Ads: info@gazetini.co.tz |
29.9 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Moyes abeba lawama za mashabiki Everton

MERSEYSIDE, Uingereza KOCHA wa Everton, David Moyes, ameungana na mashabiki wa timu hiyo akisema walikuwa sahihi kwa kile walichokifanya wakati wa mchezo wao wa sare...

Rais wa Ecuador atupwa jela kwa rushwa

QUITO, Ecuador RAIS wa zamani wa Ecuador, Lenín Moreno, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani baada ya kukutwa na hatia katika mashitaka ya rushwa. Mwanasiasa huyo...

Man City yatua kwa Gakpo

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City imeanza mazungumzo na Liverpool ikijaribu kuishawishi iwauzie winga raia wa Ureno, Cody Gakpo. Man City imechukua hatua huku dirisha kubwa...

Kivuli cha Lungu kinamfuata Rais Hichilema?

LUSAKA, Zambia LICHA ya kutangazwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa hivi karibuni, Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, anakabiliwa na presha kubwa ya ‘kumtuliza’ mpinzani wake,...

Selena Gomez na mkasa wa utapeli

LOS ANGELES, Marekani UNAMFAFAMU Selena Gomez? Bibiye anayefanya vizuri kwenye soko la muziki nchini Marekani, pia akiwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na staa wa...

Jesus sasa kutimkia Atletico

LONDON, Uingereza MPACHIKAJI mabao wa Arsenal raia wa Brazil, Gabriel Jesus, yuko mbioni kujiunga na wakongwe wa La Liga, Atletico Madrid. Mtaalamu wa habari za usajili...

Ronaldo mfungaji bora wa muda wote Al-Nassr

RIYADH, Saudi Arabia NAHODHA wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ameweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo. Ronaldo ameandika historia hiyo jana Agosti...

Rais Trump atangaza hatua mpya Venezuela

WASHINGTON DC, Marekani RAIS Donald Trump amesema Marekani imefikia makubaliano ya kudhibiti mapipa zaidi ya bilioni 65 ya mafuta ghafi kutoka Venezuela. Kwa mujibu wa Rais...

Milio ya risasi, mabomu yarindima Niger

NIAMEY, Niger WANANCHI wa Niger wamelala usiku wa kuamkia leo wakiwa na hofu baada ya milio ya risasi na risasi na bunduki kusikika mjini Niamey. Washambuliaji...

Haiti yarejesha raia 200,000 waliokimbia wahalifu

NEW YORK, Marekani RAIA wa Haiti takribani 200,000 wameUmoja rejea nchini humo baada ya kukimbia mapigano ya magenge ya uhalifu yaliyotamalaki nchini humo. Takwimu hizo ni...

Babu wa miaka 81 jela maisha kwa ubakaji, mauaji

BERLIN, Ujerumani MAHAKAMA Kuu nchini Ujerumani imemuhukumu kifungo cha maisha mwanaume mwenye umri wa miaka 81 kwa mashitaka ya kubaka na kuua. Kwa mujibu wa taarifa,...

Kumekucha Ligi ya Mabingwa Ulaya 2026-27

MONACO, Ufaransa DROO ya ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2026-27 ilichezeshwa jana, Agosti 27, 2026 mjini Monaco, Ufaransa. Ligi hiyo kwa...

Recent articles