Ads: info@gazetini.co.tz |
23.7 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Maresca kuchagua nahodha mpya Man City

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa Manchester City, Enzo Maresca, yuko mbioni kutangaza nahodha mpya wa kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa 2026-27. Man City inahitaji...

Jembe jipya Arsenal lachimba mkwara

LONDON, Uingereza KIUNGO wa kimataifa wa Brazil, Bruno Guimaraes, amesema amewaahidi mashabiki wa Arsenal kuwa ataendeleza moto aliokuwa nao Newcastle United. Arsenal walikamilisha usajili wake wikiendi...

Paul Biya: Rais aliyewaacha njiapanda wananchi Cameroon

YOUNDE, Cameroon HAJAONEKANA hadharani kwa miezi miwili sasa na wananchi wa Cameroon wanahoji; itachukua muda gani Rais Paul Biya kurudi nchini akitokea mjini Geneva, Uswis? Wakati...

Miaka minne baada ya mapinduzi, Traore amefanikiwa?

OUAGADOUGOU, Burkina Faso ALIINGIA madarakani mwaka 2022 akiliongoza jeshi kuipindua Serikali iliyokuwa madarakani. Anaitwa Kapt.Ibrahim Traore, kijana mwenye umri wa miaka 38 tu. Kwa upande mmoja,...

Kampuni za mafuta zinazonufaika vita vya Iran, Marekani

WASHINGTON DC, Marekani FAIDA wakati wa vita. Ndicho kinachoonekana wakati huu Iran na Marekani zikiwa kwenye mgogoro unaotikisa si tu Mashariki ya Kati, bali dunia...

FIFA yalaani mpango wa kumng’oa Infantino

NYON, Uswis SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limelaani mpango wowote unaolenga kumng'oa kwenye kiti Rais wake, Gianni Infantino. Infantino anakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kujiuzulu...

Baba wa Lionel Messi, Jorge Messi, afariki dunia akiwa na miaka 68

Na mwandishi wetu, Gazetini JORGE Messi, baba na wakala wa muda mrefu wa nyota wa Argentina na Inter Miami, Lionel Messi, amefariki dunia akiwa na...

Netanyahu kurejesha uhusiano wake na Marekani?

WASHINGTON DC, Marekani WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alikuwa nchini Marekani kwa ziara ya kikazi, ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Donald Trump. Kwa...

Marekani ilivyoiweka ‘ICU’ sekta ya afya Cuba

HAVANA, Cuba KWA miaka mingi, Cuba imekuwa ikisifika kwa ubora wa sekta yake ya afya, huku raia wake wakifurahia huduma ya matibabu bila malipo kwa...

Haya ndiyo maajabu ya nchi iliyobadili jina

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka mingi, iliitwa Nauru, kabla ya kubadili jina hivi karibuni na kujiita Jamhuri ya Naoero. Inafahamika kuwa ni nchi ya...

Wajawazito DRC na changamoto ya Ebola

BUNIA, DRC MLIPUKO wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeathiri kwa kiasi kikubwa utaratibu wa wajawazito kwenda kliniki, kama anavyoeleza...

Vijana wa Liberia na urahibu wa bangi

MONROVIA, Liberia KATIKA mitaa ya Mji Mkuu, Monrovia, utumizi wa dawa za kulevya aina ya bangi si jambo linalohitaji utafiti mkubwa kulibaini, na badala yake...

Recent articles