Ads: info@gazetini.co.tz |
23.7 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Wales yatangaza kutokumtambua Infantino

CARDIFF, Wales WALES imekuwa nchi ya kwanza kutangaza kutokumuunga mkono Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, katika mpango wake wa kuwania...

Liverpool yamaliza vibaya ‘pre-season’

CHICAGO, Marekani LIVERPOOL chini ya kocha mpya, Andoni Iraola, imetandikwa mabao 4-2 na Leeds United katika mchezo wao wa mwisho wa maandalizi ya msimu ujao...

Semenyo amvulia kofia Enzo Maresca

MANCHESTER, Uingereza MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Antoine Semenyo, amesifia aina ya uchezaji wa timu hiyo chini ya kocha mpya raia wa Italia, Enzo Maresca. Semenyo ametoa...

Kocha atimka Man United kisa ‘ubahili’ sokoni

MANCHESTER, Uingereza PIGO zito! Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya klabu ya Manchester United, Marc Skinner, amejiuzulu, zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya...

Infantino kung’oka FIFA, nani kuchukua nafasi yake?

NYON, Uswis MAMBO hayuko vizuri kwa Rais Gianni Infantino. Ameachana na mpango wake wa kuuza hisa za michuano ya FIFA, ikiwamo Kombe la Dunia, baada...

Penzi la ujana hadi ndoa; kapo za mastaa zilizodumu miaka mingi

LOS ANGELES, Marekani KUDUMU muda mrefu kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa si jambo rahisi, hasa unapokuwa na jina na mafanikio makubwa. Mastaa wengi...

Watu milioni tatu hatarini kupata Ukimwi mwaka 2030

RIO, Brazil KWA mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa kupitia Programu yake ya Ukimwi (UNAIDS), watu zaidi ya milioni tatu watakuwa na maambukizi ya...

Vyakula hivi kiboko ya ugonjwa wa kiharusi

Na mwandishi wetu, Gazetini WATU takribani 795,000 hupata kiharusi (kupooza) kila mwaka nchini Marekani, huku wataalamu wakionya juu ya mtindo wa maisha, pia wakishauri aina...

Sikia hii ya unga wa protini kujenga mwili, kupunguza uzito

Na mwandishi wetu, Gazetini MARA kadhaa baadhi ya wataalamu wa mazoezi ya viungo huko mitandaoni, hasa TitTok na Instagram wamekuwa wakihimiza matumizi ya protini kwa...

Argentina, Uingereza zinagombea Visiwa hivi

LONDON, Uingereza 'MALVINA ni Argentina' ni ujumbe uliosomeka katika bango walilobeba wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina baada ya kuifunga England katika...

Nyota sita Argentina kupigwa ‘stop’ Kombe la Dunia

NYON, Uswis WACHEZAJI wapatao sita wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina huenda wakafungiwa kushiriki fainali zijazo za Kombe la Dunia za mwaka 2030. Kwa...

Davido kuibukia uigizaji wa ‘muvi’

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, Davido, ameeleza nia yake ya kuwa mwigizaji kwenye soko la filamu nchini Nigeria (Nollywood). Katika mahojiano yake ya hivi...

Recent articles