Na Wizara ya Madini, Dodoma
KATIKA safu ya madini adimu ya vito yanayotambulika katika masoko ya kimataifa, Tsavorite ya Tanzania imeendelea kujijengea nafasi ya kipekee,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ACHANA na tambo za mashabiki, sare ya kutokufungana ndiyo iliyohitimisha dakika 90 za mchezo wa 'derby' ya Kariakoo kati ya wenyeji...
TEHRAN, Iran
HABARI kubwa kwa sasa katika siasa za ulimwengu ni hatua ya Marekani na Israel kuishambulia kwa mabomu nchi ya Iran.
Kubwa zaidi, ni mashambulizi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imeendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji katika sekta ya usafiri wa anga kwa kuimarisha miundombinu ya viwanja vya ndege, hatua iliyochangia...
LOS ANGELES, Marekani
STORI inayobamba kwa sasa kwenye tasnia ya burudani nchini Marekani ni hii ya mrembo Kim Kardashian kuanika penzi lake jipya na staa...
LONDON, Uingereza
MCHEZO wa soka una historia kubwa ya kuwainua na kuwapa utajiri wachezaji wanaotoka katika familia za kimasikini.
Miongoni mwao ni mkongwe wa soka la...
LONDON, Uingereza
MAUZO ya jezi ni sehemu muhimu ya vyanzo vya mapato ya klabu za soka duniani kote, zikivuna mabilioni ya fedha kutokana na biashara...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BENKI za NMB na CRDB zimeendelea kuthibitisha ubora na uimara wao katika sekta ya fedha nchini baada ya kila moja kutangaza...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HISTORIA ya maisha ya Bob Nesta Marley ina mengi ya kusisimua, ikiwa ni safari iliyoanzia Februari 6, 1945 na kufikia tamati...
NEW YORK, Marekani
Bilionea maarufu duniani, Elon Musk, ameweka historia mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza kumiliki utajiri unaozidi dola bilioni 800, kufuatia hatua...
LONDON, Uingereza
USAJILI dirisha dogo wa Januari, 2026, umefungwa kwa klabu za Ligi Kuu ya England (EPL). Je, klabu yako imefanya sokoni?
Arsenal
Walioingia: Hakuna
Waliotoka: Harrison Dudziak...
Na mwandishi Wetu, Gazetini
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuimarisha sekta ya madini kama nguzo muhimu ya ukuaji...