LAGOS, Nigeria
SUPASTAA wa muziki wa Hip hop huko Marekani, Nicki Minaj, amelaani matukio ya kuuawa kwa waumini wa Dini ya Ukiristo nchini Nigeria.
Minaj amesema...
LONDON, Uingereza
KWA miaka ya hivi karibuni, Harry Kane si tu amekuwa nahodha, bali pia mchezaji muhimu zaidi kwenye safu ya ushambuliaji ya timu ya...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Manchester City iko kikaangoni kwa tuhuma za kukiuka sheria ya Nidhamu ya Matumizi ya Fedha lakini hii si skendo ya kwanza...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SIKU chache zilizopita, Eritrea ilitangaza kusitisha uhusiano wake wa kidiplomasia na majirani za, Ethiopia, ikiwa ni hatua kubwa Zaidi katika mgogoro...
LONDON, Uingereza
ARSENAL wamepata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leeds United uliochezwa leo Oktoba...
CHEONGJU, Republic of Korea
THE International Women’s Peace Group (IWPG) has concluded its 2026 International Women’s Peace Conference, adopting global recommendations aimed at strengthening women’s...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SPIKA wa Bunge la Wawakilishi la Australia, Milton Dick, amechaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) katika Mkutano wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetwaa tuzo nne katika Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Maafisa Uhusiano na Mawasiliano Tanzania (PRST),...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TIMU mbili za usafirishaji wa transfoma nne kubwa zimeanza safari kutoka Bandari ya Dar es Salaam kuelekea katika vituo vya kupoza...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HIVI karibuni, Mahakama Kuu nchini Israel ilipitisha uamuzi wa kuviruhusu vyama vya upinzani vya Kiarabu kushiriki Uchaguzi wa Wabunge unaotarajiwa kufanyika...
LONDON, Uingereza
BEKI Nicolas Otamendi amekuwa staa mwingine kutangaza kustaafu kuitumikia timu ya soka ya Argentina baada ya Lionel Messi.
Otamendi alikuwa kikosini wakati Messi anacheza...