LONDON, Uingereza
KWA fedha nyingi na umaarufu mkubwa walionao, wangeweza kuifanya siku ya ndoa zao kufahamika duniani kote.
Hata hivyo, waliona mambo yasiwe mengi. Wakaamua kufunga...
CALIFORNIA, Marekani
KWA miaka mingi, soka limekuwa likiwaunganisha si tu wachezaji, bali pia mastaa wa tasnia ya burudani, kama ilivyoshuhudiwa wakati wa ufunguzi wa msimu...
LOS ANGELES, Marekani
UMARURU wake ulianza mwaka 2008 baada ya kutumika kama mrembo wa video katika ngoma ya rapa Young Jeezy iitwayo 'Put On'.
Ni wimbo...
Na Christopher Msekena, Gazetini
JANGA la ugonjwa wa Ebola limeendelea kuwa tishio nchini Kongo baada ya ndugu wa watano wa mwimbaji wa Injili Jonathan Budju,...
LAGOS, Nigeria
MWIGIZAJI maarufu wa soko la filamu la Nigeria (Nollywood), Nancy Isime, amesema haoni kama anaweza kufurahia ndoa akiwa na mwanaume asiye na kipato...
Na Christopher Msekena
MWIMBAJI wa muziki wa Injili nchini, Bernard Mwambungu, amewashukuru mashabiki kwa mapokezi makubwa ya albamu yake The Living Testimony.
Mwambungu ameanza kuachia nyimbo...
LOS ANGELES, Marekani
PRODYUZA aliyewahi kuwania tuzo za Grammy, Tay Keith, ameripotiwa kufariki akiwa na umri wa miaka 29.
Tay mkazi wa Nashville alijijengea jina kubwa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
HIVI karibuni, rapa wa Marekani, Nicki Minaj, alitoa kauli tata kuhusu soko la muziki, akisema limejaa vishawishi vinavyoweza kukutoa kwenye imani...
TEXAS, Marekani
WIKI hii imekuwa mbaya kwa mashabiki wa rapa Michael Lawrence Tyler maarufu kama Mystikal baada ya staa huyo kuhukumiwa kifungo cha miaka 20...
LOS ANGELES, Marekani
MIAKA mitano iliyopita, ndipo wanamuziki wawili maarufu, Rihanna na A$AP Rocky, walipoianza safari yao ya mapenzi iliyozalisha familia ya baba, mama na...
BOGOTA, Colombia
JINA la Shakira si geni kwa wapenzi wa muziki duniani. Ni mrembo mzaliwa wa Colombia, ambaye hivi karibuni alitumbuiza katika hafla ya ufunguzi...