MEXICO CITY, Mexico
KUTUMBUIZA katika ufunguzi wa Kombe la Dunia, kama walivyofanya Shakira na Burna Boy, kunaweza kutafsiriwa kuwa ni dili linalowapa pesa nyingi wanamuziki...
LAGOS, Nigeria
PACHA wa Kundi la P-Square ambalo limeshavunjika, Peter Okoye, amesema hapendi kuona akifananishwa na kaka yake, Paul.
Wawili hao amekuwa maadui wakubwa kwa siku...
NAIROBI, Kenya
KWA miaka mingi, wanamuziki wa Kenya wamekuwa wakifanya vizuri kwa Ukanda huu wa Afrika Mashariki, licha ya upinzani mkali kutoka kwa wenzao wa...
LOS ANGELES, Marekani
PESA siyo tatizo. Kwa miaka aliyofanya kazi ya muziki, Chris Brown ameweza kujikusanyia utajiri wa Dola za Marekani milioni 50, huku vyanzo...
LOS ANGELES, Marekani
MOJA ya makundi yaliyoacha katika mapinduzi ya muziki wa Hip hop nchini Marekani na duniani kwa ujumla ni N.W.A lililoasisiwa mwishoni mwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
FEBRUARI 19, 2025, aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakati huo, Palamaganda Kabudi, alisema Serikali imeamua kuutambua rasmi muziki...
LONDON, Uingereza
POLISI nchini Uingereza wamewakamata watu watatu wanaohusishwa na tukio la kuuawa kwa staa wa muziki mwenye asili ya Nigeria, Mark Orabiyi.
Orabiyi aliyeuawa akiwa...
ACCRA, Ghana
WAKATI dunia ikitambua kuwa Michael Jackson (sasa marehemu) ndiye 'King of Pop', ameibuka msanii mwingine mwenye mtazamo tofauti.
Ndiyo, nyota wa muziki nchini Marekani,...
MADRID, Hispania
MWANAMUZIKI maarufu wa Pop raia wa Colombia, Shakira, ameeleza alivyopitia wakati mgumu baada ya kuachana na mwanasoka Gerrard Pique mwaka 2022.
Katika mahojiano ya...
LOS ANGELES, Marekani
SUPASTAA wa muziki raia wa Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon, amesema wasanii wengi wa sanaa hiyo wana majina makubwa lakini hawana...
LOS ANGELES, Marekani
TIMU ya mawakili wa Sean Combs 'Diddy' inapambana kupinga hukumu aliyopewa rapa huyo anayeendelea kusota gerezani tangu Oktoba, 2025, akitumikia kifungo cha...