Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Burudani

‘Usikimbilie kuoa kama huna pesa’

LAGOS, Nigeria HUO ni ushauri wa staa wa mtandao wa TikTok nchini Nigeria, Amadou Elizabeth Aminata, maarufu kwa jina la Jarvis. Jarvis amekuja na ujumbe huo kwa...

Davido afichua kuhusu watoto wake

LAGOS, Nigeria  STAA wa Afrobeats, David Adeleke, maarufu Davido, amesema watoto wake wamemuuliza kwanini hawakupatikana kwa mama mmoja. Mwanamuziki huyo ana watoto sita katika mahusiano yake na...

Video ya Diamond yazua gumzo hatima ya Zuchu

Na mwandishi wetu, Gazetini SIKU chache tu baada ya taarifa za Diamond Platnumz kuachana na Zuchu, imeibuka video ya bosi huyo wa Lebo ya Wasafi...

Akon afunguka kumtema Drake kisa Wizkid

LOS ANGELES, Marekani SUPASTAA wa muziki raia wa Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon, amefichua sababu ya kuachana na Drake na kumsaini Wizkid kwenye lebo...

Mshindi Big Brother Naija kulamba Mil. 305/-

LAGOS, Nigeria WARATIBU wa Shindano la Big Brother Naija wametangaza msimu mpya wa 2026, huku wakitaja zawadi iliyovunja rekodi ya miaka iliyopita. Kwa msimu huu wa...

Kim, Eminem walianza utotoni, ndoa ikawashinda

LOS ANGELES, Marekani  MOJA ya stori zilizotikisa tasnia ya burudani nchini Marekani ni hii ya mke wa zamani wa rapa Eminem, Kim Scott, kukimbizwa hospitali. Katika tukio hilo...

Wageni walivyoendeleza moto Bongo Star Search 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE msimu huu 16 wa Shindano maarufu la vipaji la Bongo Star Search umefikia ukomo kwa mwimbaji Praise Wisdom kuibuka mshindi. Mwanamuziki...

Miaka 30 ya Bongo Fleva ni zaidi ya ubunifu, burudani

Na Hassan Mwasha, Gazetini UNAWEZA kufikiria kuhusu shoo nyingi za muziki zilizowahi kufanyika hapa nchini lakini 'Miaka 30 ya Bongo Fleva' imekuja na upekee mkubwa. Ni...

Katie Price; Alikaribia kujinyonga baada ya kubakwa

LOS ANGELES, Marekani MAKALA ya maisha ya mwanamitindo Katie Price imejaa simulizi yenye huzuni juu ya maisha ya bibiye huyo mwenye jina kubwa katika tasnia...

Mama yake Burna Boy ataka mkwe, wajukuu

LAGOS, Nigeria MAMA yake Burna Boy ambaye pia ndiye meneja wake, Bose Ogulu, amemtaka staa huyo wa muziki kuoa na kupata watoto. Ujumbe huo umekuja baada...

Drake kwa ‘kubeti’ humwambii kitu

TORONTO, Canada NJE ya kazi ya muziki, rapa Drake ana dunia yake nyingine. Ni miongoni mwa 'walevi' wa kamari ya kubashiri matokeo ya michezo (kubeti). Hivi...

Ndoa ya Taylor Swift inavyoitikisa Marekani

LOS ANGELES, Marekani GUMZO kubwa katika tasnia ya burudani nchini Marekani ni ndoa ya bibiye Taylor Swift na mpenzi wake, Travis Kelce, huku mashabiki wa...

Recent articles