Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Burudani

Jay Z; Kutoka ‘uswazi’, kukimbizana na polisi hadi bilionea wa Hip hop

Na mwandishi wetu, Gazetini NI rahisi kuona watu wakikuwekea chuki na wivu kwa vile tu umefanikiwa, bila kujua umepitia shida nyingi kufika hapo ulipo. Wanachukulia...

Kofi Olomide aaga ukapera, amuoa Cindy

KINSHASA, DRC BAADA ya miaka 20 ya kuwa kwenye mahusiano, hatimaye lejendari wa muziki nchini DRC, Koffi Olomide, amefunga ndoa na Cindy Le Coeur Koffi ana...

Mtoto wa Beckham ‘atatoboa’ kimuziki?

MIAMI, Marekani ANAITWA Cruz Beckham. Ni mtoto wa mwisho wa kiume wa staa wa soka, David Beckham. Kwake, soka halijawa njia sahihi, na badala yake...

Britney Spears sasa siyo mmiliki wa kazi zake

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina na mafanikio makubwa katika muziki wa Pop duniani, Britney Spears, kwa sasa hamiliki haki zozote za kazi alizofanya baada...

Wizkid ampasukia 2Baba kisa Burna Boy

LAGOS, Nigeria STAA wa Afrobeat, Wizkid, amemjibu mkongwe wa muziki huo, 2Baba, akimwita 'babu' kutokana na maoni yake ya hivi karibuni. 2Baba aliulizwa maoni yake juu...

Davido; ‘Mtoto wa kishua’ aliyeacha shule kisa muziki

LAGOS, Nigeria JINA alilopewa na wazazi wake ni David Adedeji Adeleke, ingawa mashabiki wa sanaa ya muziki wanamfahamu kwa jina la Davido. Tofauti na wanamuziki wengi,...

Kim Kardashian na wanaume 14 aliotoka nao kimapenzi

LOS ANGELES, Marekani STORI inayobamba kwa sasa kwenye tasnia ya burudani nchini Marekani ni hii ya mrembo Kim Kardashian kuanika penzi lake jipya na staa...

‘Pacha’ za wachekeshaji zilizotamba Bongo

Na mwandishi wetu, Gazetini KUTOKA mitaani, majukwaani, hadi mbele ya kamera na sasa wamejijengea heshima kubwa kupitia sanaa ya uchekeshaji ndani ya Bongo. Hata hivyo, wapo...

Mashabiki milioni 10 wamkimbia Beyonce

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina kubwa katika muziki wa R&B nchini Marekani, Beyonce, ambaye pia ni mke wa rapa Jay Z, amekutwa na kitu...

Maisha, mikasa ya Bob Marley (1)

Na mwandishi wetu, Gazetini HISTORIA ya maisha ya Bob Nesta Marley ina mengi ya kusisimua, ikiwa ni safari iliyoanzia Februari 6, 1945 na kufikia tamati...

Bruce Melodie agonga kolabo na Diamond Platnumz

Na mwandishi wetu, Gazetini MSANII wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ametoa kibao kikali kinachokwenda kwa jina la POM POM. Katika wimbo huo, Bruce Melodie amepiga...

Polisi wachunguza kilichomuua Destiny Boy

LAGOS, Nigeria POLISI wanamshikilia mtu mmoja, huku wakiendelea na uchunguzi juu ya kifo cha mwanamuzi wa Nigeria, Destiny Boy. Destiny Boy, ambaye jina lake halisi ni...

Recent articles