TEHRAN, Iran
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limetangaza kuwa Mlango Bahari wa Hormuz hautafunguliwa kikamilifu ikiwa vitisho vya kijeshi na...
DUBLIN, Ireland
SUPASTAA wa muziki nchini Ireland, Glen Hansard, amepoteza Maisha katika ajali ya pikipiki mjini Dublin.
Hansard (56), ambaye ni mshindi wa tuzo za Oscar,...
LOS ANGELES, Marekani
MAHAKAMA mjini Nevada, Marekani, imetaka mahojiano ya mtuhumiwa wa mauaji ya rapa Tupac Shakur, Duane Davis 'Keffe D' yawasilishwe kama ushahidi wakati...
LONDON, Uingereza
KATIKA fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizomalizika hivi karibuni, Ferran Torres ndiye aliyefunga bao pekee lililoipa ubingwa timu ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MSEMO wa 'vita ni akili' umedhihirishwa na namna mataifa mengi, hasa makubwa kiuchumi, yanavyotumia akili-unde (Artificial Intelligence - AI) kuwadhibiti wapinzani...
MILAN, Italia
ROBERTO Mancini ameajiriwa na kuikuta timu ya soka ya Taifa ya Italia ikiwa kwenye hali mbaya. Haijafuzu Kombe la Dunia kwa misimu yote...
LOS ANGELES, Marekani
BIBIYE mwenye jina na mafanikio makubwa kwenye soko la muziki nchini Marekani, Jennifer Lopez 'J-Lo', amenasa kwa mshikaji anayefahamika kwa jina la...
LOS ANGELES, Marekani
PICHA zinazowaonesha mastaa wa muziki Keyshia Cole na Skrilla zimeibua tetesi kuwa huenda wawili hao sasa ni wapenzi.
Katika moja ya picha alizoposti...
MANCHESTER, Uingereza
KOCHA wa zamani wa Manchester United, Ruben Amorim, amedai kuwa hapaswi kulaumiwa kwa kufeli kwake klabuni hapo.
Kwa mujibu wake, lawama zinapaswa kuelekezwa kwa...
TUNIS, Tunisia
BADO hakuna taarifa rasmi za mamlaka juu ya anakotibiwa mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tunisia, Rached Ghannouchi.
Wapo wanaosema yuko hospitali ya umma na...