PORT-AU-PRINCE, HaitiKWA mujibu wa viwango vya ubora wa soka duniani, Taifa hilo la Amerika ya Kaskazini linashika nafasi ya 84. Haiti iliwahi kusogea hadi...
WILLEMSTAD, CuracaoVIWANGO vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linaionesha Curacao ikiwa nafasi ya 82 duniani. Iliwahi kufika nafasi ya 68 mwaka...
RABAT, MoroccoKWA sasa, Morocco inashika nafasi ya 11 katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).'Simba wa Atlas' ni mabingwa mara...
RIYADH, Saudi ArabiaSOKA la Saudi Arabia limejizolea umaarufu mkubwa katika miaka ya hivi karibuni. Taifa hilo linashika nafasi ya 60 kwa ubora duniani.'The Green'...
CANBERRA, AustraliaTIMU ya soka ya taifa ya Australia inashika nafasi ya 26 katika viwango vya ubora duniani. Iliwahi kuwa ya 14 mwaka 2009.'Socceroos' watashiriki...
TUNIS, TunisiaWAKONGWE wa Afrika ya Kaskazini, ambao wanashika nafasi ya 40 katika viwango vya soka duniani. Walikuwa nafasi ya 14 miaka saba iliyopita.Tunisia 'Eagles...
QUITO, EcuadorINASHIKA nafasi ya 23 katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Mwaka 2013, Taifa hilo lilisogea hadi nafasi ya...
DAKAR, SenegalIKIWA nafasi ya 19 katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Senegal iliwahi kuwa ya 17 mwaka jana.Senegal ni...
PRETORIA, Afrika KusiniKWA sasa, Afrika Kusini iko nafasi ya 61 katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Iliwahi...