Ads: info@gazetini.co.tz |
26.3 C
Dar es Salaam

Featured

Kocha afunguka Ronaldo kusugua benchi

LISBON, Ureno KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Jorge Jesus, ameanika sababu ya kumuweka benchi nahodha wake, Cristiano Ronaldo, katika mchezo dhidi...

Diaz: Kane anastahili Ballon d’Or

MUNICH, Ujerumani MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Colombia, Luis Diaz, anaamini staa mwenzake katika kikosi cha Bayern Munich, Harry Kane, ndiye anayestahili tuzo ya Ballon d’Or...

Klopp aaanza vibaya Ujerumani

MUNICH, Ujerumani KOCHA wa zamani wa Borussia Dortmund na Liverpool, Jurgen Klopp, ameanza na mguu mbaya kibarua chake cha kuinoa timu ya Taifa ya Ujerumani. Ujerumani...

Romero aombewa unadhodha Argentina

LONDON, Uingereza LEJENDARI Angel Di Maria amemshauri kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Scaloni, kumkabidhi kitambaa cha unahodha Cristian Romero. Aidha, kauli...

Estevao aingia rada za Barcelona

LONDON, Uingereza WINGA wa Chelsea, Estevao Willian, anawindwa na vigogo wa Ligi Kuu ya Hispaia , Barcelona, licha ya kwamba huu ni msimu wake wa...

Hispania mabingwa Kombe la Dunia U-20

MADRID, Hispania TIMU ya soka ya Taifa ya Hispania ya U-20 kwa upande wa wanawake imetwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa ushindi wa penalti...

Joao Felix ataka kurudi Ulaya

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ureno, Joao Felix, ameweka wazi nia yake ya kuondokaAl-Nassr ya Saudi Arabia na kurudi katika soka la Ulaya. Aliwahi kucheza...

Arsenal wamtolea macho Haaland

LONDON, Uingereza ARSENAL na Real Madrid zimeingia kwenye mbio za kuiwania saini ya mpachikaji mabao hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland. Taarifa zinaeleza kuwa...

Rais Serbia ajiuzulu kuelekea Uchaguzi

BELGRADE, Serbia RAIS wa Serbia, Aleksandar Vucic, ametangaza kujiuzulu, ukiwa ni zaidi ya mwaka mmoja tangu maandamano makubwa ya wanafunzi nchini humo. Maandamano hayo yaliyoongozwa na...

Staa wa mielekea afariki

LONDON, Uingereza MWANAMICHEZO maarufu wa mieleka wa Uingereza, Benjamin Satterley ‘Pac’, amefariki akiwa na umri wa miaka 40, kwa mujibu wa wawakilishi wake. Pac ameiaga dunia...

Hali tete ya usalama Ethiopia

ADDIS ABABA, Ethiopia HALI ya kisiasa nchini Ethiopia inaibua uwezekano wa nchi hiyo kuingia kwenye vita. Mvutano kati ya Serikali na Chama kinachodhibiti Kaskani mwa...

Sura za makocha wapya kunogesha AFCON 2027

CAIRO, Misri UKIACHA Tanzania, Kenya na Uganda ambazo ni wenyeji, timu zingine 21 zinasaka tiketi ya kushiriki fainali zijazo za Mataifa ya Afrika . Kwa upande...

Recent articles