Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA mujiu wa utafiti wa Taasisi ya Mount Elgon, wanyama aina ya tembo hujitibu kwa mitishamba wanapopata wanapokabiliwa na magonjwa mbalimbali.
Aidha,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATI ya watu 20 wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa kijamii wa Instagram, 14 wanatoka nchini Marekani.
Hata hivyo, wanasoka...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UGIRIKI na Japan ndizo nchi zinazotajwa kuwa na kipimo kigumu zaidi kwa dereva kukabidhiwa leseni na kuingia barabarani.
Kwa Ugiriki, dereva anayehitaji...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UMEWAHI kujiuliza maisha yangekuwa magumu kiasi gani bila uwepo wa chumvi kwenye mboga? Sasa, kwa taarifa yako, binadamu alianza kutumia kiungo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BILIONEA Elon Musk, ambaye ndiye mmiliki wa X , ndiye mtu mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa kijamii. Wafuasi...
LOS ANGELES, Marekani
KATIKA orodha ya mastaa wenye mkwanja mrefu duniani kwa sasa, nafasi ya kwanza na ya pili zinashikwa na waongozaji wa filamu nchini...
Na mwandishi wetu, Gazetini
“HAIUZWI kwa mtu mwenye umri chini ya miaka 18.” Ni kaulimbiu maarufu katika matangazo ya kampuni za pombe. Kwamba bidhaa hiyo...
MANCHESTER, Uingereza
BEKI wa zamani wa Manchester City na timu ya Taifa ya Ujerumani, Jerome Boateng, ametangazwa kuwa kocha msaidizi wa Trabzonspor ya Ligi Kuu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Ijumaa, Septemba 25, 2026, amehitimisha hoja yake ya sita ya...
Na Esther Mnyika, GAZETINI
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya mabadiliko ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026,...