Ads: info@gazetini.co.tz |
23.4 C
Dar es Salaam

DATA

Kiti cha Katibu Mkuu UN: Nani alifaulu, nani alifeli?

NEW YORK, Marekani KATIBU Mkuu ndiyo cheo cha ngazi ya juu zaidi ndani ya Umoja wa Mataifa (UN) na kwa sasa kinashikiliwa na Waziri Mkuu...

Igor Thiago: Kutoka maisha ya msoto hadi Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza WAKATI kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, alipotangaza kikosi kitakachokwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka...

Klabu zenye mataji mengi ya Ligi ya Europa

LONDON, Uingereza ASTON Villa ndiyo Mabingwa wa msimu huu wa 2025-26 wa michuano ya Ligi ya Europa. Hata hivyo, kwa kuifunga Freiburg mabao 3-0 katika...

Mambo 5 yaliyoipa Arsenal ubingwa wa EPL

LONDON, Uingereza MATESO yamekwisha. Baada ya miaka 22 ya kusubiri, Arsenal imetwaa taji la Ligi Kuu ya England (EPL). Taji hilo limetua Emirates baada ya...

Waliondoka Simba, Yanga wakatwaa ubingwa wa CAF

Na Hassan Mwasha, Gazetini MC Alger kutwaa taji la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika wikiendi iliyopita, ambapo iliifunga Zamalek kwa penalti 8-7, ni stori...

Maeneo 9 ya kujivunia Wizara ya Maliasili na Utalii

Na Hassan Mwasha, Gazetini BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jumatatu, Mei 18, 2026 limepitisha Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka...

‘Kasi ya mapambano dhidi ya Ukimwi imepungua duniani’

NEW YORK, Marekani NI kwa mujibu wa Mpango wa Ukimwi wa Umoja wa Mataifa (UNAIDS), ikielezwa kuwa vita dhidi ya Ukimwi imepungua duniani kutokana na...

Usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa Ebola unaoitesa DRC

Na mwandishi wetu, Gazetini SHIRIKA la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limetangaza hali ya dharura inayohitaji uangalizi wa kimataifa baada ya mlipuko wa ugonjwa...

Ufalme wa Chama: Jinsi alivyotawala soka la Bongo

Na Hassan Mwasha, Gazetini MJADALA mkubwa kwa sasa katika soka la Tanzania, hasa Ligi Kuu Bara, ni kiwango bora alichonacho kiungo wa kimataifa wa Zambia,...

Mbeya City na ‘ICU’ inayotishia kuwarudisha Championship

Na Hassan Mwasha, Gazetini BAADA ya kukosekana kwa misimu miwili mfululizo, safari hii Mbeya City bado inapitia wakati ngumu msimu huu wa Ligi Kuu Bara...

Dakika 20,70 za Ibenge ndani ya ligi kuu bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini KOCHA mwenye 'CV' kubwa katika soka la Afrika, Florent Ibenge, ametimiza dakika dakika 20,70 tangu alipoanza kuisimamia Azam katika mechi za...

Azam, TRA United zilivyoshikilia ubingwa wa Yanga

Na Hassan Mwasha, Gazetini YANGA iko kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 54, wakati Simba iko nafasi ya pili kwa tofauti...

Recent articles